Search results

  1. M

    Hiki kitabu cha risiti cha huyu Trafiki, ni cha Serikali au chake binafsi?

    Hiyo sio Stakabadhi/receipt kaka, Hiyo ni Notification kuwa umetenda kosa.na kuwa unafahamishwa juwa ndani ya siku saba uwe umelipa faini kwa kosa uliloyenda. Saaa nenda kituo cha polisi ukakatiwe Stakabadhi kama umeshatoa hela
  2. M

    Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L

    Sawa kaka. Mil 15 nadhani ntapata gari nzuri.
  3. M

    Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L

    Thanx chief. Ila natafuta ya Diesel.
  4. M

    Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L

    Thanx chief. Ila nataka Suppperoof kwaajili ya biashara.
  5. M

    Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L

    Okey nimewaelewa. Ula nimeweka hapa kupunguza watu wa kati. Madalali. Ili kama kuna mwana jamvi anayo au ndugu yake itapunguza
  6. M

    Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L

    Natafuta Toyota Hiace Supperoof Engene 3L au 5L iliyo katika Hali Nzuri ya Body na Engine. Body ndio kipaumbele cha kwanza iwe Haijagongwa wala kupata ajali kubwa(sio michubukoo midogo) Nahitaji Zaidi Namba "B" au namba "C" Hata kama Namba "D" itapatikana ni Vizuri zaidi. Kama Kuna Namba "A"...
  7. M

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Biashara ya Daladala inalipa vizuri sana Nimepitia uzi huuu kurasa zooote na nimejifunza mengi sana, aidha mengine nimekutana nayo sana katika biashara hiii ya Daladala, ambayo mpaka sasa ninaifanya. Kwasababu nina hamu ya ku share nanyi uzoefu wangu basi nitaomba mnivumilie kidogo ili niweze...
  8. M

    Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    Nimependa sana Majadiliano haya, Naogopa sana kuchangia mambo yahusuyo dini, Maana ni rahisi sana kuteleza, Aidha hata ukiongea ukweli au uhalisia, lazima utakwenda kinyume na matakwa ya wachache kwaajili ya IMANI zao. Naweza Kueleza kama najaribu kujibu tuuu kuwa ni Kweli Serikali ya Tz haina...
  9. M

    Hivi meno ya tembo ni malighafi ya nini?

    Pia huwa naambiwa yanatumika kutengeneza dawa za nguvu za Kiume
  10. M

    zile kazi za TRA za august wameshaita watu?

    Walishaita watu December December 13 Ilikuwa Written Interview na walifanya watu 140 wakachaguliwa 15 tuu kwaajili ya Oral Decemba 16,Ili wapatikane watu 7 Watakaoajiriwa..Naongelea kazi za Internal Investigation Officer TRA
Back
Top Bottom