Search results

  1. S

    Nimsaidieje ndugu yangu na Kansa inayomsumbua

    Naomba msaada hata wa mawazo niweze kumsaidia ndugu yangu ambaye kansa inamsumbua Mwanzo ilikuwa breast cancer, surgery ikafanyika ocean road hospital ikifuatiwa na matibabu mengine kama chemotherapy na mionzi. Baadae ikagundulika kuwa sehemu nyingine kama ini vimekuwa affected na akaanza...
  2. S

    Secondary School Teacher available

    I have my relative who is the Secondary School Teacher, has a diploma, specialised in Kiswahili and English subjects although not limited and wants to teach Private schools in Dar es salaam. Please let us know if your school needs one or you have any information as far as the above is concerned.
  3. S

    Naomba Msaada wa tiba ya asili ya kansa

    Nina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea kutumia tiba ya hospital.
  4. S

    Tumaini Hospital

    Mwenye namba za simu za Tumaini hospital naomba anisaidie ikiwezekana na pia kupata namba ya simu ya specialists wa mgonja ya njia za mkojo hasa kwa wazee na matatizo mengine ( urologists) Nataka kuweka apointment kwa ajili hiyo
  5. S

    Ufisadi si kuchukua pesa tu

    Kumekuwepo na tabia ambazo hazifai katika jamii ya watanzania na wengi tunaangalia tu bila hata kujiuliza ni kwa nini. Kwanini mtu ajifikirie yeye ni muhimu kuliko mtu mwingine hasa katika kupata huduma ambazo ni muhimu kwa kila mtu? Mara zote nikienda kwenye ATM naona watu wamekuwa wastaarabu...
  6. S

    Lugha zetu ni mali ya kujivunia, ni Ujinga Kuzikwepa

    Nimekuwa nikilichunguza jambo hili ninalotaka kuzungumzia muda mrefu lakini limekuwa linanipa shida kuelewa ni nani wa kubebeshwa lawama au la. Siku za hivi karibuni, kundi kubwa la watu hasa vijana wameamua kutokuwa na lugha wanayoifahamu kwa ufasaha wakijifikiria wao wanaenda na wakati sijui...
Back
Top Bottom