Mkuu,ungetoa ufafanuzi ni kansa ya nini ili atakaye kuwa anaelewa tiba take aweze kukupatia maelezo sahihi ya ugonjwa usika.Nina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea kutumia tiba ya hospital.
Mkuu,ungetoa ufafanuzi ni kansa ya nini ili atakaye kuwa anaelewa tiba take aweze kukupatia maelezo sahihi ya ugonjwa usika.
Dawa za saratani au kansa wengi wanakosea hapa au ni wabishi kufuata masharti ya chakula.Nina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea kutumia tiba ya hospital.
Kama uko seriously njoo dm,kansa inapona na nitakuunganisha na doctor wa bf suma atakuudumia.Jamani mimi uncle wangu anasumbuliwa na kansa ya koo, tatizo hata dawa anazopewa hawezi kumeza, je kuna dawa anazoweza tumia kwa njia nyingine, si kumeza?
Njoo dm,pole sana nitakuunganisha na Doctor tiba ipo utamwelezea jinsi mgonjwa anavyo umwa na uhakika atapona na Mungu atamsaidiaNina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea kutumia tiba ya hospital.
Miaka takribani 12 sasa tunaomba mrejesho wa dawa ulizotumia na Hali ya mgonjwaNina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea kutumia tiba ya hospital.
Tunaungoja Wote Ingawa Comments Nyingi Hawakuangalia Kuwa Habari YYa2010Miaka takribani 12 sasa tunaomba mrejesho wa dawa ulizotumia na Hali ya mgonjwa
0788 251 429 hebu mpigie huyo Sina undugu naye wala sina faida nitakayopata ila hebu jaribu kwani mimi nimetumia dawa zake zimenisaidia na familia yangu.Hata kama sio wewe itawasaidia na wengine wenye matatizo katika familia zao au wao wenyeweNina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea kutumia tiba ya hosp
Dawa ya asili ya saratani maji [liquid ipo bei yake ni sh. 25,000/= kwa lita moja, na matumizi ni [unatumia lita 4 kwa mwezi] na kwa ujumla unatakiwa utumie dawa kwa miezi 6 au 8, kulingana na stage ya saratani au kansa uliyonayo, pia unatakiwa ufuate masharti ya vyakula.Jamani mimi uncle wangu anasumbuliwa na kansa ya koo, tatizo hata dawa anazopewa hawezi kumeza, je kuna dawa anazoweza tumia kwa njia nyingine, si kumeza?