Search results

  1. M

    Namlilia Mtema

    (1) Poleni sana poleni, poleni tena nasema Nasema tena poleni, kifo cha dada Mtema Hiki ni kitu kigeni, naona kama sinema Mrimu wa Herakuli, namlilia Mtema. (2) Namlilia Mtema, wa Herakuli Mrimu Naja hapa nikihema, sikupiga hata simu Mwili unanitetema, kikumbuka marehemu Wa Herakuli Mrimu...
  2. M

    Elections 2010 Alichokiomba Dr Slaa ni kusitisha kutangaza matokeo, sio Umwagaji damu

    Mwanjelwa: Mheshimiwa Dr. Willbrod Peter Slaa anagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hagombei Ubunge! Kwa mantinki hiyo hana wajibu wa kuwapigania wagombea Ubunge. Wagombea hao wanaweza kujitetea wenyewe majimboni mwao! Pia wanaweza kutetewa na CHADEMA kama chama na sio Dr. Slaa...
  3. M

    Dr. Willibrod Slaa = The Fernando Lugo of Paraguay!

    Fernando Armindo Lugo Mendez (59 years old) is the current President of Paraguay and the former Roman Catholic bishop of the Diocese of San Pedro. He ascended to power on August 15, 2008 defeating the Colorado Party which had been in power for 61 years (with 3 dictators)! One of the...
  4. M

    Nimwite nani?

    Mzee nasalimia, wa Kijijini hujambo? La mgambo likilia, ninajua lina jambo! Mbiu nimeisikia, sio leo ni kitambo Unataka kumjua, huyu ndege mwenye mambo Ndege huyu ni KASUKU! Ndege huyu ni Kasuku, jina nimelibaini Si Bata wala si Kuku, hawa ndege wa shambani Wala si yule Chiriku, wa sauti ya...
  5. M

    Narejea duniani

    (1) Hodi ninabisha hodi, salamu wanakijiji Wazee walipa kodi, wa shambani na wa jiji Mlioko kwenye bodi, na kamati za majaji Narejea duniani, Mrimu wa Herakuli. (2) Wa Herakuli Mrimu, imenibidi kurudi Kurudi kwa bin Adamu, huenda wakajirudi Wakajirudi fahamu, na kuacha ugaidi Narejea duniani...
Back
Top Bottom