Search results

  1. E

    TCRA imeshindwa kudhibiti matapeli wa simu?

    Wanakupigia kuwa kuna pesa imekosewa kutumwa, unapowabaini wanakutukana matusi makubwa na kukata simu! Hii ni kero nyingine. Nafikiri wahanga wengine wapo. TCRA tafadhali.
  2. E

    Ushauri: JKT kwa Mujibu wa sheria ifutwe, badala yake vijana wapelekwe VETA miezi 3 au 6

    Wazo zuri lakini, nina wasi wasi kama serikali itakuwa tayari kulipa gharama za mafunzo, ambazo kimsingi ni kubwa ukilinganisha na kupigaa kwata!
  3. E

    Maxence Melo: Utambulisho wa majina mitandaoni utaua habari za kiuchunguzi

    Kuna wqtu huwa wanajitoa ufahamu tu! Mpaka yamkute siku moja!
  4. E

    Wahenga wenzangu hii gari inakukumbusha nini na wapi?

    Baba yangu alikuwa dereva wa siku nyingi wa haya madude! Alistaafu mwishoni mwa miaka ya sabini!
  5. E

    Hivi huyu mwalimu wangu wa shule ya msingi alikuwa anatudanyanya kuhusu Umeme kwa maslahi ya nani?

    Kimsingi gas tungeitumia kama back-up tu ikiwa tungekuwa na hydro capacity ya kutosha!
  6. E

    Hivi huyu mwalimu wangu wa shule ya msingi alikuwa anatudanyanya kuhusu Umeme kwa maslahi ya nani?

    Alisema Gharama kubwa ktk Umeme ni kuweka mitambo na miundombinu ya kukufikishia umeme kwako nyumbani (Akizungumzia umeme wa maji ).<br />gharama baada ya hapo ni ndogondogo ambazo kama miundombinu ikisimamiwa vizuri nazo zitakuwa za chini sana au bure. Alikuwa sahihi kabisa kwa kuingizia neno...
  7. E

    MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Ushauri mzuri sana, utasaidia wengi! Kuna watu wakipata hela wanakuwa na papara sana!
  8. E

    Tatizo lolote la PC/device

    Thanks ngoja nijaribu! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. E

    Tatizo lolote la PC/device

    Very good! Simu yangu ya Android Techno H6, inashindwa kutambuliwa na PC yenye Window 10. Naweza kutatua vipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. E

    Kufananishwa Sura na Watu Wengi ni dalili ya nini!!?

    Duuu!!! Afadhali niende kwa Sheikh Yahaya[emoji27] [emoji27] [emoji27]
  11. E

    Kufananishwa Sura na Watu Wengi ni dalili ya nini!!?

    Inanitokea mara nyingi watu kunifananisha na watu walio onana mahali pengine. Hili jambo libatokea kwa watu wengine pia!? Na hili jambo lina ashiria nini!!?
  12. E

    Kwanini nikisex naye naona madude meupe kuuzunguka uume wangu?

    Fungus hao tumueni Clotrimazole au muone Daktari!
  13. E

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Pascal Mayalla unajivunjia heshima! Makonda ajisafishe na achukue hatua ngonjera hazitusaidiiii!!
  14. E

    Swali la weekend kwa wanafamilia...

    Laki mbili! Asikudanganye mtu!!!
Back
Top Bottom