Search results

  1. M

    Dar Village Project in Dar es Salaam

    mwenye kuendesha project kafulia!!!!! si mnamjua???
  2. M

    Dar Village Project in Dar es Salaam

    Kwa taarifa za jikoni mwenye kuendesha hiyo project kafulia nadhani mnamfahamu. alijiwekea lengo akabidhi mwezi wa tano nakama mna kumbukumbu aliweka bango pale kwa mwl J K Nyerere la kupangisha since may BUT mpaka leo mradi umesimama hata mafundi hawapo even some machies ameziondoa.l
  3. M

    Raisi kuidhinisha stahili ya Spika - ndio utaratibu ?

    Je? Na naibu spika ana allowance ka za spika???? nawakilisha
  4. M

    Waafrika Tuna Bongo Ndogo?

    ni uvivu na ubinafsi and nothing else!!!!!!
  5. M

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    our lives begin to end the we become silent about things that matter!!!!!
  6. M

    Dr. Salim Ahmed Salim kuwa Obama wa Tanzania 2015?

    mma..... Tatizo si uzee hatufai kwani hajainvest tz na wala hakai tz hajui twala nini twaishi vp
  7. M

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Ha haa haaaaaa!!!! KURUKA SI KIGEZO---KIGEZO KUTUA
  8. M

    Happy Birthday BALANTANDA

    B.day njema ila take care!!!
  9. M

    Ultimatum: Serikali ina siku 14 kutangaza mahakama ya Kadhi! - Wahadhiri

    Wako mahakimu wangapi kwa ajili ya mahakama hii???? Au wakipewa ruksa ndo watawatafuta? nieleweshwe tafaaaaaaaaaaaaaadhali
  10. M

    Obama: Baby got back...

    KUOSHA MACHO INARUHUSIWA!!!!!!!!!! Ingekuwa ww what will u do?
  11. M

    Padri Karugendo: Spika huyu si bora kwa Bunge la Wananchi!

    acheni chuki binafsi ana uhuru wa kuhoji ka mtanzania
  12. M

    Kanye West's Chick Amber Rose

    Waaao, gooosh!!!! Its just chick,wako kistarehe zaidi na si kindoa
  13. M

    Swine Flu in Africa - Tahadhari!

    hoooops!! waafrika hatukubali kujifunza na kusimama kama waafrika ILA tunapenda kukumbatia. Naamini kwa ugumu wa miili yetu hatutaathirika!!!!
  14. M

    Kuna haja kwa kampuni ya TIGO kubadili jina hili la matusi?

    vitu kama hivi vinatumika sehemu nyingi (world wide) either ushindani wa kibiashara au kimtaa zaidi
  15. M

    Waliotudanganya wafanyweje?

    WALIOTUDANGANYA WAFANYWEJE? Wananchi wa mara walilalamika sana kuhusu kitendo cha wahusika wa mgodi wa north mara kumwaga sumu kwenye mto tigeti ambao maji yake yanatumiwa na wananchi wenyewe pamoja na mifugo yao. HOJA, alienda naibu waziri akadanganywa nae akadangaya umma. ikaundwa tume ya...
  16. M

    Kibaki na Mkewe warudisha magari ya serikali.

    Tz leaders ni wazuri sana kwa blablaa,hawaoni-hawasikii-hawaambiliki-hawashauriki-hawatendi. they are just after their................
  17. M

    Wale wa IST wenzangu mpo?

    teh teehh teeehhhhh!!!! utakuwa wa west tz.
  18. M

    ANTONY DIALLO ni ROLE MODEL kwa wamiliki wa vyombo vya habari

    Teh teehh teeehh wakati yeye akiwa waziri alithubutu kumnyooshea kidole waziri yoyote? au ni kutoelewana kwa wawili hawa? na ikumbukwe alipania tokea kkao cha kwanza cha kamati ya bunge walipopitia `FIRST DRAFT` au ndo yaleyale ya next election???? NAWAKILISHA!
  19. M

    Gazeti la Uwazi Lachapia

    Wamezoea kukurupuka wakidhani ndo wajuaji zaidi.mbaya zaidi hawataomba msamaha kwa kudanganya umma!!
Back
Top Bottom