Search results

  1. mriri

    Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Bado yupo aisee
  2. mriri

    Naomba wimbo

    Ngoni Tribe, hata mimi nautafuta sana aisee!
  3. mriri

    Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

    Machizi wanajua me kamanda wasua, Ukinipa boya namfua, hata kama ana kifua, Hapa nilipo na mafua ukinipa kipaza nakamua. Lord Eyez-N2N Ndo zetu!
  4. mriri

    Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

    Ukinicheka shambani, Mi Nitakucheka sokoni, Chuma hufua chuma, ni mwendo wa roho mkononi, Maisha ni mpangilio ukitulia yanajiseti, ni kama atoz kwenye mfumo alphabeti- Prof Jay, Ni hayo tuu!
  5. mriri

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    A million and one questions by Jay Z, nimeutafuta sana bila mafanikio!
  6. mriri

    Ni nani atakayemwambia ukweli Ali Kiba?

    Well said!
  7. mriri

    Natafuta mtandao wa kusoma online kwa video

    Mkuu hio edx, nasomea entrepreneurship but kufanya malipo ili nipate certificate nashindwa. Naomba msaada
  8. mriri

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Hawa kuku wana kipi cha ziada cha tofauti na kuku wengine? Kwa minajili ya Nyama, mayai nk??
  9. mriri

    Program ya kutengeneza beat kwenye computer

    Zipo software nyingi za kutengeza beats. Search kwenye torrent then u download kawaida.
  10. mriri

    Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

    Kama Dr Slaa alivyosimama na kutaja list of shame pamoja na kashfa nyingine, asimame hadharani kuwataja maaskofu waliohongwa na kiasi walichohongwa. AU atoke hadharani na kuwaomba radhi watanzania wote specifically waumini wa madhebu ya RC na Lutheran kwa kuwachafua viongozi wao na kuwaingiza...
  11. mriri

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Suluhisho lipo hapa fadhilipaulo.com
  12. mriri

    Je, wajua? - Special Thread

    Je wajua waamini wa rastafari hutumia bangi kama sakramenti takatifu?
  13. mriri

    Mume wa mtu na mke wa mtu kufungua kampuni bila ya kuwajulisha wenzi wao

    Alafu hapo ukute ni msabato kutoka kaskazini mwa Tanzania kule milimani lazima patachimbika walivyo wabishi!
  14. mriri

    Soko la kaymu

    Hi kampuni ni ya kiduwanzi saana sijawahi kuona!! Mimi nimenunu mzigo tokea 17 July .15 mpaka leo sijaupata!! Huduma kwa wateja bure kabisa ukitoa taarifa kwa moja wengine hawana!! Hakuna coordination kabisa!! Sitakaa nirudie tena kununua bidhaa kutoka kwao.
  15. mriri

    Habari ya Clouds TV mmenunuliwa na CCM?

    Wa declare tuu kuwa wao kama media house kwenye huu uchaguzi wana support ccm 100% watu wajue hivyo!
  16. mriri

    Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

    Duuh!! Mwaka huu tutaona mengi!
  17. mriri

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kubota. Vifaranga vya mwezi mmoja chotara wa israel mitetea 45 na majogoo 5 wanaweza kula vyakula gani mchanganyiko gani na kg ngapi kwa siku moja. Asante.
  18. mriri

    Rais Kikwete azindua Mtambo wa Kuhakiki Takwimu za Mawasiliano (Telecom Traffic Monitoring)

    Huu mtambo una manufaa makubwa sana ya kuhakikisha govt inapata mapato stahiki kama ukitumika vizuri.Serikali ya Ghana walipata mapato makubwa kutoka makampuni ya simu baada ya kufunga mtambo kma huo.Kwa tz i doubt.
  19. mriri

    Ku'mbrand msanii wa kibongo na kufanikwa

    Tatizo kubwa ya wasanii wa bongo ni kutojitambua thamani walionayo kama brand.Pili wanashindwa mbinu za wao kudumu kwa muda mrefu katika soko la muziki i.e sustainability.Pia wanakosa management nzuri yenye upeo wa muziki na inayo wajali.Ma manager wengi wa wasanii wa bongo hawana connection...
  20. mriri

    Msaada : Anayeijua huu wimbo.

    Unaitwaa ahaa ahaa wa tunda man,Kipindi io anachana...
Back
Top Bottom