Search results

  1. Ontuzu

    Godfrey Zambi- Mbozi East (CCM)

    Nimevutiwa sana na maneno ya kishujaa ya huyu Mbunge dhidi ya chama chake, anasema: "At this rate i will not be surprised if CCM was defeated, and victory will only be delivered by divine intervention" .....Source: The Citizen 19 April (front page)
  2. Ontuzu

    kupotelewa vyeti

    waheshimiwa, kijana wangu kapotelewa na cheti cha kidato cha nne, sita na chuo kikuu anaweza kupata vipya? ni utaratibu gani afuate.
  3. Ontuzu

    AJIRA- wenye vigezo kazi kwenu!

    nimeiona hii mahala nimeona ni vyema nikiiweka pia humu... EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Bulwark Associates Advocates, a modern and dynamic Law Firm based in Dar es Salaam, is currently inviting Applications from suitably qualified candidates to fill the following vacant positions in the firm:-...
  4. Ontuzu

    Mwenye Ruling ya kesi ya TANESCO v DOWANS

    kama kuna mtu ana nakala ya maamuzi yaliyotolewa juzi na mahakama kuu (Judge Mushi) kesi ya TANESCO V DOWANS naomba aniwezeshe
  5. Ontuzu

    Msaada tafadhali

    Nina tatizo kubwa sana la meno toka nikiwa mdogo nimekuwa nasumbuliwa nayo. Almost yote yameoza ila nimekuwa nikiyaziba sina raha nimeshauriwa kuwa kuna teknolojia mpya imekuja tz ukiacha ile ya zamani ambapo ungeweza kuweka meno bandia lakini kila jioni unayatoa unasafisha, hii ya sasa...
Back
Top Bottom