Search results

  1. X

    Kuhamishwa kituo cha kazi na kuachishwa kazi

    Kwa nilivyoelewe mwajiri anajaribu kukwepa kusema uliajiriwa Mtwara anasema Tanzania. Sasa ulivyoandika hujafafanua mna mgogoro gani. Hata hivyo kama alikuajiri Tanzania lazima itamkwe ni sehemu gani ya Tanzania. Sisi wote tumeajiriwa Tanzania, wengine Mtwara, Iringa Dar nk. Mkataba wako unataja...
  2. X

    Updates kutoka Uwanja wa Mashujaa Mtwara: Mkutano wa Kampeni za mgombea Urais CCM

    CCM wamechoka jamani, nikutukana tu hawana hoja. Huwezi kusikiliza irani ya CCM kama wewe ni makini wakati kazi yao ni kuharibu tu. Irani yao ina kazi gani?
  3. X

    Updates kutoka Uwanja wa Mashujaa Mtwara: Mkutano wa Kampeni za mgombea Urais CCM

    Akitoka hapo atasema yeye mlemavu na kwamba anaomba vurugu zisitokee kwakuwa walemavu wataathirika zaidi huku anachochea vurugu majukwaani. Nadhani angetoka kwenye hichi chma kama kiongozi abaki mwanachama tu ili aendelee na njaa zake.
  4. X

    Jerry Muro na Zitto Kabwe, Something familiar

    Siyo tu lugha ya uongozi hata kwenye research paper ya mtu aliyefanya utafiti fulani yeye binafsi haikubaliki kutumia maneno kama 'i' unatakiwa kutumia wingi 'we', huwezi kupersonalize academic work somply because lazima kunamchango wa watu wengine humo ndani. Ubinafsi mbaya sana.
  5. X

    Mkakati Mzito waandaliwa na CCM kumchonganisha LIPUMBA

    Ukawa muwe makini na watu kama mleta mada. Anasema CCM wanasema ukawa no hatari hasa kama wakifanikiwa lengo lao la kumtosa Lowassa, anataka kuwaaminisha CCM kuwa Lowassa ndiyo kiboko ya Ukawa hivyo asitoswe. Hapa lengo siyo kuitahadharisha Ukawa bali kumpigia debe Lowassa ili CCM wasimtose.
  6. X

    Nyerere: Pamoja na changamoto, Kiongozi safi hawezi toka nje ya CCM

    Msiwe na mawazo mgando, Nyerere alisema hivyo mwaka 1995 kutokana na mazingira ya wakati huo, hakusema milele. Ndiyo maana akasema pia ccm siyo baba yake au mama yake. CCM iliyojaa wezi na matepeli inawezaje kutoa kiongozi bora? CCM imejaa watu wanao kimbilia ikulu, Nyerere si alisema tuwaogope...
  7. X

    Aibu nyingine kwa CHADEMA

    Mbona naona yupo na familia yake hapo, kipi cha ajabu? Vijana acheni uvuvuzela. Kama maisha nje ya chama fulani kwako hayaendi kwanini uharibu? Omba kurudi kaka manake upo kama umedata vile.
  8. X

    Serikali mbili Mzanzibar hatakuwa rais wa Jamhuri ya Tanzania?

    Kitu ambacho wanaotaka Muungano wa Serikali mbili hawasemi ni kwamba, je katiba itamzuia Mzanzibar kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa TZ? Hii ni kwasababu rais wa Muungano ndiye atakuwa rais wa Tanganyika iliyojificha, je Wanganyika watakuwa tayari kuamuliwa mambo na rais Mzanzibar? Ndiyo...
  9. X

    Hii ndo ilikuwa sababu kubwa ya Kutochagua wawakilishi toka Makanisa ya Kipentekoste

    Anacho shangaza Mtetemela hakufungua mdomo wake kukemea maneno machafu ya wajumbe wa ccm ambao walikuwa wanahubiri mpasuko hasa yule aliyesema waunguja wa uhusiano wa damu na wabara lakini wapemba hawana uhusiano w damu na wabara. Askofu wa kweli asiyepofushwa na siasa anawezaje kutokemea hili...
  10. X

    Yanga yapigwa stop rasmi

    Mi naona wabongo karibu wote tuna akili finyu hasa vijana, hivi kwanini hamuwezi kufanya mijadala ya maana zaidi ya kutukanana na kubezana? Wewe mleta mada ulipata upinzani na matusi kwa sababu hata uandishi wako ni wa kinafiki, na wenzako wakigundua mnafiki lazima wakupinge tu. Mfano unasema...
  11. X

    Halima Mdee Unachemka

    Mdee hawezi kuondolewa na watu wanne mlio mponda humu kwenye mjadala, mlio jaa chuki na roho mbaya, mwanzo mwisho bizbap , ifweero tu! TUTAMCHAGUA TENA KWA JASHO NA DAMU.
  12. X

    Tamko la M/kiti CCM MKoa wa Shinyanga dhidi ya Malecela, Makonda

    Kumbe ccm nako kuna wanaoitwa wahafidhina? Siasa bwana! Ukinunua urais lazima uuze nchi piga uwa.
  13. X

    Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

    Kila mtu hulipwa kwa kazi yake kamanda, CDM itakukumbuka kwa kazi yako. Ukimaliza huko hamia na mkoa mpya wa Njombe hasa Ludewa.
  14. X

    Asante Ndimara Tegambwage umenena vyema

    Good analysis, Zitto unakazi ya kututhibitishia Kuwa wewe siyo mbinafsi kama tunavyo kutazama sasa huku nje.
  15. X

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Katika hali hii Zitto hata ukirudishiwa vyeo utafanya kazi na nani? Kaka hapo bwawa limeingia luba, wapishe tu watu wapite. Haukubaliki tena maana huaminiki tena kwa wenzako na akina siye wa huku mitaani. Vita yako haina faida kwa chama. Kubali tu bro.
  16. X

    Wafuasi wa Zitto Kabwe v/s wafuasi wa Godbless Lema

    Mumpambanishe Zitto wa sasa na Lema wa sasa, manake naona wengine mnapambanisha Zitto wa zamani na Lema wa sasa. Siasa ni kama football tu, kama kocha ulitupa mataji matano msimu uliopita msimu mpya ukibolonga tunakukimbiza tu.
  17. X

    Ukweli kuhusu Okwi kutua Yanga.

    Chezea Rage weye.
  18. X

    Ukweli kuhusu Okwi kutua Yanga.

    ITC katoa nani? cha muhimu ni Okwi kutua Yanga iwe kwa mkopo au kumnunua au hata bure.
  19. X

    Rai: Kapuya asamehewe...!

    Hii haihitaji mtu ufukuzwe, unaamua tu mwenyewe kuachia ngazi, kwa heshima ya walio kuchagua na nchi kwa ujumla. Ni wakati wa ccm kuonyesha kuwa bado kuna umakini japo kidogo. Hii ni aibu ya mwaka kwa mheshimiwa huyu na ccm hasa kwa maneno aliyo yasema.
Back
Top Bottom