Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Sep 10, 2013
335
471
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine tutawanyike tukajenge chama.

Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya kuwashughulikia, acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili uundaji wa misingi.

Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.
 
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine tutawanyike tukajenge chama.
Zitto ameshafukwa, chapa kazi kamanda. Mambo ya mahakama waachie wa mahakamani
 
Mtei Kasema Zitto hatakiwi CHADEMA, sisi tunafikiria tunamtoaje wewe unasema tutawanyike tukajenge Chama, Unachekesha sana.
 
Well said Mkuu ......

Ninatokea jimbo la Kigoma Kaskazini (Matyazo - Kalinzi) lakini sikubaliani na siasa tata za Mbunge wangu. Last time nilipotembelea kijijini kwetu watu wengi walionyesha kutomwamini mbunge wetu huyu.

Anyway,... keep going Kamanda you have all our support.
 
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na
kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine
tutawanyike tukajenge chama.Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko
yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya
kuwashughulikia,acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili
uundaji wa misingi.Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.

CHADEMA inajulikana mijini tu, tena sio miji yote, acha kutufunga Kamba!
 
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na
kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine
tutawanyike tukajenge chama.Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko
yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya
kuwashughulikia,acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili
uundaji wa misingi.Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.

Piga kazi kamanda wangu usiache kuvitembelea vijiji vya Mwamashele, Mwamanota, Mwigumbi, Mwamadulu, Lagana(ukifika hiki kijiji utapata sapport kubwa sana..

Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na
kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine
tutawanyike tukajenge chama.Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko
yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya
kuwashughulikia,acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili
uundaji wa misingi.Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.
Kamanda Mawazo samahani hivi Chadema wanakulipa?
 
Kila mtu hulipwa kwa kazi yake kamanda, CDM itakukumbuka kwa kazi yako. Ukimaliza huko hamia na mkoa mpya wa Njombe hasa Ludewa.
 
Mtei Kasema Zitto hatakiwi CHADEMA, sisi tunafikiria tunamtoaje wewe unasema tutawanyike tukajenge Chama, Unachekesha sana.
Kwi kwi kwi mtatoaje CCM au Msalani? Poleni gamba lenu hiloo watu wameshalishtukia wameandaa shoka
 
Well said Mkuu ......

Ninatokea jimbo la Kigoma Kaskazini (Matyazo - Kalinzi) lakini sikubaliani na siasa tata za Mbunge wangu. Last time nilipotembelea kijijini kwetu watu wengi walionyesha kutomwamini mbunge wetu huyu.

Anyway,... keep going Kamanda you have all our support.

Huko tunaambiwa alishinda kwa asilimia 47 tu...
Inamaana nusu ya wana Kigoma ya Kaskazini hawamkubali.
 
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na
kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine
tutawanyike tukajenge chama.Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko
yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya
kuwashughulikia,acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili
uundaji wa misingi.Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.

Safi sana kamanda, tunapenda sauti hizi zipazwe zaidi na zaidi!
 
Back
Top Bottom