Search results

  1. Sir Good

    Mwenye mashairi ya wimbo huu!

    Huu ni wimbo wa bongofleva ambao nilitokea kuupenda sana ila umenitoka kidogo, una mashairi haya; Nilimfukuza mpenz wangu eti kwa sababu ya bintii, nilimfukuza wangu moyo eti kwa sababu ya bintii, moyo wangu unauma nafsi yangu inajuta mamaa...
  2. Sir Good

    Kimanda wa Yanga aibukia Ubelgiji

    Kimanda wa Yanga aibukia Ubelgiji
  3. Sir Good

    Mtoto auawa kwa mpini wa jembe

    Mtoto auawa kwa mpini wa jembe
  4. Sir Good

    Varda Arts: Hapa Kazi Tu

  5. Sir Good

    CCM Shinyanga waziba nafasi ya Mgeja

    CCM Shinyanga waziba nafasi ya Mgeja
  6. Sir Good

    Naomba ushauri wenu wadau

    Heshima kwenu wakuu! Kutokana na ugumu wa maisha niliamua kujinyima nikahifadhi visent vyangu kwenye kibubu lengo lengo nifikishe japo 2ml ili ninunue pikipik na niifanye bodaboda niepukane na adha ya kutumwa. Bahati mbaya kabla lengo halijatimia, kibarua kikaota nyasi. Kuchungulia kibubu...
  7. Sir Good

    Ndiyo nimetapeliwa au?

    Heshima kwenu wakuu! Kutokana na ugumu wa maisha niliamua kujinyima nikahifadhi visent vyangu kwenye kibubu lengo lengo nifikishe japo 2ml ili ninunue pikipik na niifanye bodaboda niepukane na adha ya kutumwa. Bahati mbaya kabla lengo halijatimia, kibarua kikaota nyasi. Kuchungulia kibubu...
  8. Sir Good

    Wimbo wa matusi redioni!

    Muda mfupi uliopita kuna kituo cha redio kimepiga wimbo wa matusi, wimbo huo ni wa bongofleva lakini wa muda kidogo. Kwenye wimbo huo sauti niliyoijuwa ni ya Soggy Doggy, sauti nyingine sikuzitambua. Ni matusi mazito yaliyoelekezwa Mawingu fm!
  9. Sir Good

    Nitawezaje kuplay vizuri video za youtube kwenye simu ya itel1400?

    Inasachii kisha inatembea kidogo halafu inasimama tena kisha inasachi tena, mwendo ndiyo huohuo yaani inachosha mno!
  10. Sir Good

    IRAQ HUDU afariki dunia!

    Bondia mkongwe Iraq Hudu hatunaye! Mungu amlaze pema peponi amin.
  11. Sir Good

    Hodi! hodi! hodi! ni mimi Sir Good!

    Naomba ukaribisho wenu enyi ma-GT ili na mimi niwe miongoni mwenu ktk kulisukuma gurudumu hili la jf ili lisonge mbele, mbele zaidiiiii!
Back
Top Bottom