Search results

  1. K

    Mfahamu Horatio Spafford mwandishi wa wimbo wa ni salama rohoni

    Angalau ungenitag kuappreciate kazi iliyofanyika...hahahaa
  2. K

    Mfahamu Horatio Spafford mwandishi wa wimbo wa ni salama rohoni

    Hii stori niliiandika hapa jukwaani. Naona umecopy paste, mkuu. Historia ya wimbo uitwao Ni Salama Rohoni Mwangu (It is Well with my Soul) - JamiiForums
  3. K

    Mfahamu Horatio Spafford mwandishi wa wimbo wa ni salama rohoni

    Mkuu, umecopy paste hii stori. Niliiandika hapa hapa jukwaani...
  4. K

    NADHIRI: Unapoiweka usisahau kuikamilisha na kuiondoa

    Hii ni kutoka kitabu cha Kumbukumbu la Torati (biblia) sura ya 23:21-22: 21 Utakapoweka nadhiri kwa Bwana, Mungu wako, usiwe mlegevu katika kuiondoa; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, hataacha kuitaka kwako; nayo hivi itakuwa dhambi kwako. 22 Lakini ukijizuia usiweke nadhiri, haitakuwa dhambi kwako.
  5. K

    Natafuta kiwanja Kigamboni

    Kama bado hujapata na unahitaji Gezaulole kwenye mradi wa viwanja vipya blocks 16-24 nicheki inbox. Hili ni eneo lililo karibu na zinapojengwa ofisi za Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya pia Hospitali ya wilaya ya Kigamboni
  6. K

    Kibubu challenge: Sasa imerahisishwa kwa excel

    Wanajukwaa, Heshima mbele. Nimekuwa nikiona mpango wa baadhi ya watu kujijengea desturi ya kuweka akiba kwa mfumo ambao unajulikana kama 'kibubu challenge'. Baada ya kujifunza namna unavyofanya kazi, nikaona na miye nichangie kidogo katika kuendeleza tabia hii nzuri ya kujiwekea akiba kwa...
  7. K

    Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    7 Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu. 2 Wakorintho 9 :7
  8. K

    Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

    Ni ile kazi ya shule au? Hongera sana kama ulipata kazi...
  9. K

    Nataka kusafiri Dar-Mbeya kwa Toyota IST, nijuzeni haya

    Mkuu, Nimesafiri na IST Desemba mwaka jana toka Dar kwenda Mbeya. IST yangu ni cc1,500 na nilitumia lita 50. Utaratibu wangu huwa ni kijaza mafuta kila mkoa, so niliweka full tank Dar na nilipofika Moro nikajaza tena, nikaenda jaza tena Iringa lengo ilikuwa kujua kiwango cha mafuta ninachotumia...
  10. K

    Wauza new original otg flash drive

    Mkuu, Uko wapi nataka 2. Nipo Dar
  11. K

    Miji ya Tanzania iliyo juu zaidi kutoka usawa wa bahari

    Mwezi uliopita nilipita Kitulo nikiwa natokea Makete kwenda Mbeya. Baridi la pale si mchezo. Kuna ukungu moja hivi huwa unatokea kiasi kwamba wenyeji wanasema ikifika kuanzia saa 12 jioni inakuwa taabu sana kuendesha gari...
  12. K

    Mipapai huu ni ugonjwa au nini?

    Mkuu, Huwezi badili jinsia ya mapapai. Ukigundua ni dume, ng'oa tu. Ile ya kuweka vigunzi sijui 'haifanyagi' kazi. Utajisumbua bure...
  13. K

    Niulize chochote kuhusu tiba ya mionzi

    Asante sana mkuu danya kwa elimu...
  14. K

    Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

    ...Ilitakiwa title isomeke; Flora Mbasha akualika kwenye sherehe ya harusi yake. Unaeza alikwa harusini ila si katika ndoa. Ndoa ni ya watu wawili tu. Tafakari.
  15. K

    Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Hahahah! basi mkuu. Yaishe.
  16. K

    Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Hapana mkuu. Sikusema ndiyo simu bora kuliko zote. Nimesema uzoefu wangu na smartphones umenifanya niamue kununua mchina (TECNO) sababu naona nilivyokuwa navipata kwenye Xperia z1 ndo hivyo navipata kwenye Tecno J8. Ni mtizamo binafsi lakini. Usichukulie personal.
  17. K

    Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    hahahaa! Eti takataka. Nilinununua kipindi zinatoka bosi na wala si sasa hivi. Any way nimesema ni experience yangu binafsi. Samahani kama nimekukwaza.
  18. K

    Nyuzi muhimu za mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi Jamvini

    Wakuu, 'Kulikuwaga' na thread moja hivi ya kupakua softwares mbalimbali. Ilishawahi nisaidia sana (Nilipakua softare moja hivi ya Business Planning ya Palo Alto). Jana kutwa nzima nimeshinda naitafuta tena hata sijaipata. Wenyewe wanaiuza GBP 299.99 ilhali hapa 'niliipataga wa bure tu'. Hiyo...
Back
Top Bottom