Search results

  1. GENTAMYCINE

    Huyu Mwanajeshi aliekuwa akihutubia leo si ndio yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Kuna vitu vingine sometimes ni vya Kitoto na huwa tunapotezeana tu muda Kuvijadili hapa Jukwaani. Hivi kabisa kuna Mtanzania ambaye aliamini kuwa wale Wauza Madafu ni Wauza Madafu kweli na siyo Watu wa Mfumo na Medani za Kivita? Kwahiyo sasa mnavyomshangaa huyo sijui Muuza Madafu hayo mliyemuona...
  2. GENTAMYCINE

    Tafadhali mwenye Ktabu chochote au Chapisho lolote la Kumfundisha Mtu vyema Lugha ya Kiswahili aniwekee hapa ili 'Nikidanlodi' haraka sana

    Vuta tu Mkuu si mdhani GENTAMYCINE natania tu? Endeleeni Kukariri Maisha na kudhani kuwa Maisha ni yale yale tu 24/7.
  3. GENTAMYCINE

    Tafadhali mwenye Ktabu chochote au Chapisho lolote la Kumfundisha Mtu vyema Lugha ya Kiswahili aniwekee hapa ili 'Nikidanlodi' haraka sana

    Hadhi yangu ya sasa siyo ya kufanya huo Ushamba ila kwa Wanaonijua Physically soon wataniona nikiwa naongozana na nani.
  4. GENTAMYCINE

    Tafadhali mwenye Ktabu chochote au Chapisho lolote la Kumfundisha Mtu vyema Lugha ya Kiswahili aniwekee hapa ili 'Nikidanlodi' haraka sana

    Mbona hapa ndiyo Kwanza nimeanza na HATERS wangu na WANAFIKI mtaumia mpaka mtafute kwa Kujificha Pumbavu zenu.
  5. GENTAMYCINE

    Tafadhali mwenye Ktabu chochote au Chapisho lolote la Kumfundisha Mtu vyema Lugha ya Kiswahili aniwekee hapa ili 'Nikidanlodi' haraka sana

    Ila cha Kushangaza anapewa VIP Treatment sasa sjui Wewe wa maana unapewa nini au una nini cha maana. Pumbavu.
  6. GENTAMYCINE

    Tafadhali mwenye Ktabu chochote au Chapisho lolote la Kumfundisha Mtu vyema Lugha ya Kiswahili aniwekee hapa ili 'Nikidanlodi' haraka sana

    Fursa zinakuja namalizia kuandaa Project ambayo pia itanilazimu kuja huko Tanzania kukutana na Mawaziri Waandamizi Wawili kisha nitaenda Zanzibar, Rwanda na Kenya. Kuna Kitu nakifanya ambacho nataka niache Alama kwa wana Afrika Mashariki kwa Kusaidia Wachache ambao nitawaweza. Vuta subira Wewe...
  7. GENTAMYCINE

    Tafadhali mwenye Ktabu chochote au Chapisho lolote la Kumfundisha Mtu vyema Lugha ya Kiswahili aniwekee hapa ili 'Nikidanlodi' haraka sana

    Wakikujibu waambie mwaka 2004 nilikuwa South Africa tena nasoma katika Chuo Kikuu cha Cape Town na mwaka huu nina Ratiba ya Kusafiri na Mkubwa fulani Afrika kwenda nae nchi za Scandnavia na China kabla ya kurejea nae Namibia na atapitia Tanzania kuonana na Mwenzake huko. Naomba HATERS wote wangu...
  8. GENTAMYCINE

    Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

    You're Uncivilized Baboon and International Certified Fool.
  9. GENTAMYCINE

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Kwetu katika Mataifa ya Wapumbavu hawa ni Mtaji wa Wanasiasa Wapumbavu katika Kuwapigia Kampeni na Kura 2025.
  10. GENTAMYCINE

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Clouds na Ayo Tv ni sawa na kusema tu Wodi za Sewahaji na Kibasila zote ni Ndugu moja ndani ya Mwamvuli wa Muhimbili.
  11. GENTAMYCINE

    Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

    Stupid ukishakuwa Philosopher automatically ni Msanii kwa Angle nyingine hasa ya Lugha, Hotuba na Uwasilishaji wa Fikra.
  12. GENTAMYCINE

    Tusidanganyane baada ya Simba SC Kufngwa tena na Yanga SC Ligi Kuu ya NBC imeshakosa Muto hivyo Yanga SC wapewe tu Kombe lao tuendelee na Mengineyo

    Simba SC hiyo ya kuwa ya Pili NBC Premier League iko wapi Mkuu? au Unanisanifu tu ilhali Ukweli wote unaujua haiwezekani?
Back
Top Bottom