Search results

  1. K

    Rushwa za ngono kwa lecturers vyuoni

    Nadhani waathirika tunao humu. mnaonaje tuwataje kwa majina na vyuo walipo hao lecturers.
  2. K

    Auctioneers/waendesha minada waliopo dar es salaam tanzania

    Kampuni inataka kuuza mali mbalimbali zikiwemo nyumba, samani, mitambo, magari, mashamba, etc. Ili kuuza inahitaji kupata Kampuni ya udalali yenye uzoefu katika shughuli hizi iliyopo jijini Dar es Salaam Tanzania. Kampuni inapenda kupata offer toka kwa madalali angalau wanne (4) ili iweze...
  3. K

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    , Umetisha, Hata ukubwa wa nyumba hujaufahamu/hajakupa umetaja bei. Unamaanisha nyumba yenye 100sqm itagharimu sawa na nyumba yenye 250sqm? Vipi kuhusu aina ya mabati anayotaka kutumia - bei yako inakuwa sawa kwa mabati ya aina zote? Anyway: Mimi pia nipo nahitaji gharama za kuezeka nyumba...
  4. K

    HIV Testing - Mkutano wa SADC

    Southern Africa: SADC Considers Universal HIV Testing Agência de Informaçao de Moçambique 19/08/2013 Lilongwe — Several leaders of the Southern African Development Community (SADC), speaking at the organisation's weekend summit in Lilongwe, called on member states to adopt the principle of...
  5. K

    nafasi za kazi OPPORTTUNITY TANZANIA LIMITED

    Wasalaam, HUU NI UZUSHI!!!! HAWAJATANGAZA NAFASI ZA KAZI NA HATA WAKITANGAZA MFUMO WAO UPO TOFAUTI NA ALIYEWEKA HII POST.. Maombi ya kazi huwa yanatumwa kwa applications@opportunity.co.tz au barua kwenye SLP 80244 DSM. Ninayaandika haya nikiwa na taarifa rasmi kutoka ofisi hiyo yenye makao...
  6. K

    Nokia Lumia 510 - Msaada wa Internet

    Habari za Mchana, Naomba msaada wa kuweza kutumia internet ya mtandao wa AIRTEL kwenye simu aina ya Nokia Lumia 510. Nimejaribu kuisomasoma ila sijafanikiwa jinsi ya kujiunga. Nilikuwa natumia "line" hii hii kwenye Blackberry. Natanguliza Asante kwa msaada wenu.
  7. K

    Panya wananisumbua

    Wasalaam, Nimekuwa kwenye vita na panya nyumbani kwangu kwa miezi sasa. Panya hawa wapo wengi kiasi kwamba wakati mwingine unaweza kugongana naye ukiwa unapita kwenye "corridor" nyumbani hasa mida ya usiku. Ninaomba ushauri jinsi gani ya kuwatokomeza. NOTE: .Ninaishi kwenye "appartment"...
  8. K

    Google map - nani anaratibu

    Salaam, Napenda kufahamu kuhusu Google Maps. 1. Nani anamiliki/simamia/ratibu Google maps? 2. Huwa inaboreshwa? 3. Kama jibu ni ndio; Maboresho yanafanyika kila baada ya muda gani? Huwa napenda sana kuitumia katika kufahamu maeneo tofautitofauti ila ninakuwa najiuliza lini nitaona maboresho...
  9. K

    Mipango ya matumizi ya ardhi jijini dar es salaam

    Wana JF, Nimekuwa na shauku ya kufahamu mipango iliyopo ya matumizi ya ardhi hususan kwa jiji la Dar es Salaam. Hii ni hasa kwa maeneo ambayo hayajapimwa bado (unsurveyed) kama vile baadhi ya maeneo ya Mbezi Msakuzi, Mbezi Makabe, Goba, Madale, Mbagala Kuu, Msongola, Kivule, Kibamba - Kwembe...
  10. K

    Viwanja Vizuri Vinauzwa

    Bornagain; eneo hili linafikika kirahisi na umeme upo nyumba ya jirani kama mita 200 kutoka hapo kwenye kiwanja. Nyumba zinazoonekana zipo katika hatua ya mwisho ili nao waweze kuuvuta huo umeme. Wakiuvuta utapita mpakani mwa viwanja tajwa. Ni kweli Kibwegere kwa unayoyasema hasa baadhi ya...
  11. K

    Viwanja Vizuri Vinauzwa

    Makeda, Hivi viwanja vipo kama 1.5km kutoka barabara ya Morogoro. Eneo lina document ya serikali ya mtaa.[ Ni eneo la mtu mmoja ameamua kugawa viwanja vichache yeye ataendelea kuishi hapohapo.Q UOTE=makeda;4878364]-Vina umbali gani kutoka barabara kuu? -vina documents gani? -vimepimwa?
  12. K

    Viwanja Vizuri Vinauzwa

    Hahahaaaaaa....... 5x10m? hiyo nadhani utauziwa ili kuongezea upana wa barabara tu georgeallen. 1.5m kwa eneo hilo sio rahisi kupata kiwanja kwa ajili ya makazi.
  13. K

    Viwanja Vizuri Vinauzwa

    Viwanja vizuri vinauzwa eneo la Kibamba Dar es Salaam Picha hapo chini zinaonyesha sehemu ya viwanja hivyo na nyumba zinazoonekana ni majirani. Ukubwa mita 25 kwa mita 30 Shs 8.5m, Ukubwa mita 30 kwa mita 40 Shs 16.5m, Ukubwa mita 25 kwa mita 20 Shs 6.5m. Viwanja hivi vimeungana, hivyo unaweza...
  14. K

    Nokia asha 200 for sale!!

    Ndugu Ifams, hizo nokia Asha 200 zipo za rangi tofauti tofauti nne. Je yako ni ya rangi gani? unapatikana wapi? unazo ngapi? Nipo Morogoro wewe wapi?
  15. K

    Nauza gari Tsh 7m

    Tarlisha; Kizuri kina gharama zake. Ila tusiwatishe ambao hawajawahi kuyatumia haya magari. Tofauti ya matumizi ya mafuta ni ndogo kiasi fulani. Kwa mfani Hii GX100, 6cylinder inakwenda kwa wastani wa kilomita 8-10 kwa lita (mwendo wa kawaida mjini). Spacio/Carina Si/Corona Premio and alike...
  16. K

    Nauza gari Tsh 7m

    . KakaKiiza; Kwa uzoefu mdogo nilionao, mara nyingi vinavyodumu huwa havinunuliwi mara kwa mara (mzunguko mdogo). Kwa uzoefu wa miaka sita sasa nimetumia CRESTA GX100; 1997 Model kama hiyo inayouzwa. Sijawahi kupata tatizo kubwa la kiufundi zaidi ya service, kubadili tyres, bulbs (taa) za mbele...
  17. K

    Kuweni makini, utapeli mpya umeibuka Dar

    WanaJF, Juzi nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina kwa ananifahamu vizuri sana. Kisha akanieleza kuwa kuuna Deal la biashara inayohusisha wizara moja hivi. Nilishawahi kusikia watu kibao wametapeliwa kwa njia ya watu kama hawa hivyo sikuwasikiliza hadi mwisho nikakata simu...
  18. K

    Viwanja Vinauzwa

    Ndugu nahitaji huko Kwembe; Je vimepimwa? vipo eneo la mradi? Kwembe ipi - baada ya maduka sita au kabla? Asante
  19. K

    Car for Sale - RAV 4

    Yeah! Mara nyingi tunaamini kuwa wanawake ni wataratibu na makini wawapo barabarani - hivyo gari zao hazikutani na majanga mara kwa mara. Hata hivyo kwa uupande mwingine----- natanguliza samahani; Wanawake wengi nilioktana nao na kufanya nao kazi/soma nao na sorry to say even my wife--- swala...
Back
Top Bottom