Viwanja Vizuri Vinauzwa

KASRI

Member
May 2, 2009
93
22
Viwanja vizuri vinauzwa eneo la Kibamba Dar es Salaam
Picha hapo chini zinaonyesha sehemu ya viwanja hivyo na nyumba zinazoonekana ni majirani.
Ukubwa mita 25 kwa mita 30 Shs 8.5m,
Ukubwa mita 30 kwa mita 40 Shs 16.5m,
Ukubwa mita 25 kwa mita 20 Shs 6.5m.
Viwanja hivi vimeungana, hivyo unaweza kuviunganisha vyote.

Kwa mawasiliano piga namba 0652828320

MUUZAJI NI MMILIKI, HAVINA DALALI
 
Attachments

  • Kiwanja1.jpg
    Kiwanja1.jpg
    148.8 KB · Views: 219
-Vina umbali gani kutoka barabara kuu?
-vina documents gani?
-vimepimwa?

Viwanja vizuri vinauzwa eneo la Kibamba Dar es Salaam
Picha hapo chini zinaonyesha sehemu ya viwanja hivyo na nyumba zinazoonekana ni majirani.
Ukubwa mita 25 kwa mita 30 Shs 8.5m,
Ukubwa mita 30 kwa mita 40 Shs 16.5m,
Ukubwa mita 25 kwa mita 20 Shs 6.5m.
Viwanja hivi vimeungana, hivyo unaweza kuviunganisha vyote.

Kwa mawasiliano piga namba 0652828320

MUUZAJI NI MMILIKI, HAVINA DALALI
 
Nimeangalia sana hizo picha lakini sijaona nguzo za umeme jirani. Umeme upo mbali kiasi gani?
 
Makeda,
Hivi viwanja vipo kama 1.5km kutoka barabara ya Morogoro.
Eneo lina document ya serikali ya mtaa.[
Ni eneo la mtu mmoja ameamua kugawa viwanja vichache yeye ataendelea kuishi hapohapo.Q
UOTE=makeda;4878364]-Vina umbali gani kutoka barabara kuu?
-vina documents gani?
-vimepimwa?[/QUOTE]
 
Tatizo la Kibamba ni miundombinu yaani maji na umeme.Kuna rafiki yangu alinunua uwanja maeneo ya Kibwegere mwaka 2007 mpaka leo anadai nguzo ya umeme alipoiacha ndo ilipo haijawahi kusogea wala hakuna hata plan ya kuweka hata ntaro wa maji
 
Bornagain; eneo hili linafikika kirahisi na umeme upo nyumba ya jirani kama mita 200 kutoka hapo kwenye kiwanja. Nyumba zinazoonekana zipo katika hatua ya mwisho ili nao waweze kuuvuta huo umeme. Wakiuvuta utapita mpakani mwa viwanja tajwa.

Ni kweli Kibwegere kwa unayoyasema hasa baadhi ya maeneo. Hata hivyo Kibwegere ni mbali zaidi na ni upande tofauti na huu tunaoungelea.
 
Wewe unasemea Kibamba ipi tena, ama Hondogo ambako nako ni karibu kuliko Kibwegere lakini huduma za umeme na maji bado ni zero.Mi nawashangaa sana tume ya Taifa ya Uchaguzi kugawa jimbo la Ukonga badala ya jimbo la Ubungo ambalo ndo kubwa kuliko Ukonga.Hili jimbo la Ubungo lingegawanywa maendeleo ya Kibamba na Kiluvya yangekuja fasta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom