Search results

  1. FTP

    Jionee mafuriko ya Kagasheki jimbo la Bukoba Mjini

    Nimepokea picha hizi kutoka Bukoba kuwa ni mafuriko ya mgombea ubunge jimbo la Bukoba mjini CCM balozi Kagasheki. Hivi kule mgombea UKAWA ni yupi, nimecheka sana. Ina maana hilo jimbo CCM italichukua kweli?
  2. FTP

    Video-Vimbwanga vya Uchaguzi,Mgombea CCM adai Serikali ya CCM inanuka rushwa,wajumbe wachachamaa

    Huko Bukoba mkoani Kagera mgombea mmoja wa nafasi ya ubunge aitwaye Dk Aman Anatory asubuhi alichafua hali ya hewa baada ya kudai katika mkutano wa kampeini kuwa Serikali ya CCM inanuka rushwa,kaenda mbali zaidi kwa kudai kuwa tz kuna tahasisi nne zinanuka rushwa,mojawapo ni ofisi ya CAG...
  3. FTP

    Ujumbe huu ni kwa wanawake na funzo kwa wasaka dawa za kukuza maumbo yao

    kizuri kula na mwenzio-Ujumbe huo
  4. FTP

    Kagasheki akwama, Dr Aman agoma kumsaheme baada ya kuungama

    Taarifa kutoka Bukoba Mkoani Kagera ni kwamba Mbunge wa Bukoba mjini Balozi Kagasheki ambaye yuko Bukoba Mjini takribani wiki nzima sasa amemwangukia hasimu wake Dr. Amani akitaka amsamehe kwa yote yaliytokea. Taarifa ni kwamba Aman amesema hawezi kufanya huo 'upuuzi' kisema 'ni bora nikambusu...
  5. FTP

    Tambua Wizi mpya wa Vodacom Tanzania, Serikali iko kimya

    "Time: 11-02-2015 14:22:31 Content: Vodacom leo imechezesha droo ya washindi 11,111. Je namba .............. imo? Tuma AUTO kwenda 15544, angalia kama umeshinda Milioni 100 za leo.." Ukirogwa ukatuma SMS husika unakatwa 300/= na kuelezwa kuwa kwa washindi wa milioni 100 haumo ila tuma tena...
  6. FTP

    Salum Mwalimu kateuliwa kueneza CHADEMA Bara au Zanzibar?

    Huyu Kijana,nasikia ni katibu wa CHADEMA Zanzibar lakini kila siku utamsikia Ukerewe,Lindi, Arusha nk. Hivi kule Zanzibar vipi? CHADEMA walimpangia shemu gani ya kazi? Ofisi yake nasikia ipo Zanzibar lakini yeye anaishi Dar na anaratibu ziara za bara kutoka Zanzibar. Siasa za bongo uchuro mtupu.
  7. FTP

    Waandishi wa habari kuvaa sare za vyama kama huyu Gerson?

    Anaitwa Grayson Msigwa yuko TBC mikoa ya kusini huko.Je hii ni sawa lakini. Aione Pasco na wenzake
  8. FTP

    Maskini huyu Mkaka,Pole yake lakini

    Sorry kwa hii pics lakini kufika hatua hii ni ili iweje? nataka akina MziziMkavu watueleze chanzo cha ugonjwa huu ni nini,tiba yake na madhara yake katika jamii.
  9. FTP

    Miss Tanzania Aingia 10 Bora Miss World, Piga kura hapa ashinde

    final ya miss world 2014 ni 14-12-2014 siku zimebaki chache tumpigie kura miss tz 2013 kupiga kura ni rahisi nenda play store download application inaitwa miss world zipo nyingi lakini chagua iliyoandikwa miss world limited ukisha download utaona pa kuchagua lugha chagua kibendera kile...
  10. FTP

    Naomba kujua gharama za TRA kwa hili gari

    wajuzi wa mahesabu nisaidie kwa hili. maana magari kwa hapa bongo wanatugonga sana,nisaidie cost za tra hapa naona hadi bandarini nitalipa CIF USD 3,790 ambazo ni kama milioni 6.2 tu. Je inaweza vuka 10m? Ref No: 19510T1N6 Year: Nov, 2000 Make: NISSAN Name: X-TRAIL X 4WD...
  11. FTP

    Salva Rweyemamu Vs Aboubakary Liongo nafasi ya Ikulu

    kKama kawaida Msemaji wa Ikulu ajaye atakuwa A.Liongo baada ya kuanza kufanya mazoezi kama mlivyoona akiongelea issue ya Rais Mtarajiwa E.Lowassa kuhusu kuugua kwake kule Ujerumani. Baada ya Salva kumaliza ngwe yake katika ikulu ya Magogoni akiwa na Jk Kikwete sasa anajipanga kukabidhi kijiti...
  12. FTP

    Ratiba mpya mjadala wa Escrow Bungeni

    Tunataka kujua leo kikao kinaendelea au bunge limemalizika kihivyo? naomba walioko bungeni au mamlaka watujuze.kama mambo yameisha tumefanye mambo mengine maana tangu novemba 26 tuko dodoma kifkra nk. wahusika tafadhali tupatie ratiba mpya kama ipo UPDATES Bunge Limehairishwa tena litarejea...
  13. FTP

    Hapa jibu Ndiyo au Hapana

  14. FTP

    Mbowe tena CHADEMA na tabia ya viongozi wa Afrika kung'ang'ania madaraka

    Tunajifunza nini? hata kama kiongozi anapendwa vipi hii tabia ya viongozi wa afrika kudhani hakuna mbadala wao sijui itakwisha lini? nimesikia hata Kabila wa Kongo anataka kufanya kama hii ya Mbowe. Tafakari
  15. FTP

    Tazama Harusi ilyofana kuliko zote mwaka 2014, nini maoni yako

    Mimi sina cha kuongeza,picha inajieleza.
  16. FTP

    Hawajitokezi kupiga kura tupate viongozi bora lakini katika haya mambo tazama umati

    Tufanyeje jamani kubadili fikra za hiki kizazi, wanajitokeza hivui kwenye matamasha sijui Fiesta,kilimajaro Tour nk lakini wakipewa nafasi ya kuchaua viongozi bora hawajitokezi hata kujiandikisha wala kupiga kura,tufanyeje kutumia matamsha haya kutoa elimu japo ya kujitambua kwa sisi vijana...
  17. FTP

    Hivi kazi za msanii Abdu Mulaasi zinanunuliwa na akina nani jamani, tazama hii

    Huyu msanii ni kutoka Uganda, video zake zote ni full ngono.kuanzia swiming pool,farm,china,best man na sasa kaachia moja inaitwa sauna hakika weka mbali na watoto,ukikutwa unaitazama ndoa inavunjika kabisa. nataka kujua hizi vieo zinaruhusiwa kuchezwa katika TV na kuuzwa kama hizi za akina Alyy...
Back
Top Bottom