Hivi kazi za msanii Abdu Mulaasi zinanunuliwa na akina nani jamani, tazama hii

FTP

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
514
238
Huyu msanii ni kutoka Uganda, video zake zote ni full ngono.kuanzia swiming pool,farm,china,best man na sasa kaachia moja inaitwa sauna hakika weka mbali na watoto,ukikutwa unaitazama ndoa inavunjika kabisa. nataka kujua hizi vieo zinaruhusiwa kuchezwa katika TV na kuuzwa kama hizi za akina Alyy Kiba?
Tazama kidogo
 
Last edited by a moderator:
Madame B nilitaka kujua message yako tafadhali
 
Last edited by a moderator:
ndo namsikia leo to be honesty

huyu msanii ni wa kitambo na ni maarufu sana Uganda hasa kwa wapenzi wa mambo ya wakubwa lakini too much jamani. kuna video moja nakuwekea hapa kama dedication kwako bibie tazama.
 
Last edited by a moderator:
Huyu msanii ni kutoka Uganda, video zake zote ni full ngono.kuanzia swiming pool,farm,china,best man na sasa kaachia moja inaitwa sauna hakika weka mbali na watoto,ukikutwa unaitazama ndoa inavunjika kabisa. nataka kujua hizi vieo zinaruhusiwa kuchezwa katika TV na kuuzwa kama hizi za akina Alyy Kiba?
Tazama kidogo

Hiyo video ya sauna mbona ni ya 2011 .huyo ndio style yake hiyo na anapendwa sana UG.

Na hizo video ndio uwa anazitoa za aina hiyo tu.

Ug video zake zinaangaliwa na kila mtu mtoto,mzee hadi kijana na zinapigwa kwenye vituo vya TV.

Mwaka jana jamaa aliumwa na kupungua kama mti mwembamba hadi akatangazwa amefariki na watu wakajua amefariki lakin kumbe alikuwa ajafariki ila aliumwa sana.

Sasa hivi dawa za kusogeza siku zinafanya kazi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom