Search results

  1. mtungutu

    Mwalimu Mkuu akutwa na bangi shuleni

    Hiyo bahati mbaya tu, mwl mwenzagu utatoka tu uje uendeleze pilika za kuikomboa familia yako. Maana mshahara haukutoshi na wanao wamataka elimu bora. Get rich or die trying...
  2. mtungutu

    Slaa na maamuzi ya ubabe Kyela, akipewa nchi atafukuza wangapi?

    Waliozoea kambi bhana, cdm ni moja hakuna kambi kama kwenu ccm.
  3. mtungutu

    Mwacheni Mungu aitwe Mungu

    Halafu utakuta kijana ana viungo vyote vya mwili lkn analalama au kabweteka nyumbani au kijiweni na mahitaji muhimu anayataka. Tufanye kazi jama
  4. mtungutu

    Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    Kweli tunaserikali jamani?
  5. mtungutu

    Mhindi anaswa akimlawiti mfanyakazi wake

    Mwenye mafuta ndo kamgegeda mwenzake
  6. mtungutu

    Ushawahi kujihisi out of place?

    Kijiwe cha kahawa mnaleta story za kiprofessional?????? Mtachekesha mbona.
  7. mtungutu

    Wale wa udsm wanaotaka kubadili course walizochaguliwa, someni hapa

    UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM PROCEDURE FOR CHANGE OF DEGREE PROGRAMME All first year students are required to register in the academic programmes they have been admitted to. Those wishing to transfer from one academic programme to another will be allowed only where the student has higher points...
  8. mtungutu

    Walimu kugoma baada ya mwezi mmoja wasipolipwa malimbikizo yao yaliyofikia bilioni 33....

    Mgomo upi tena jamani???? Mbona wengine tumegoma toka kitambo.!!!!!!!?????
  9. mtungutu

    Manji akana kujiunga CHADEMA

    Mimi nakujua sengerema vizuri, huyo alex manji hana popurality kihivyo labda kama ndo anataka kujulikana kwa kupitia CDM..
  10. mtungutu

    Ushawahi kujihisi out of place?

    Huwezi kutoka bure labda kama na wewe hujiwezi kabisa.
  11. mtungutu

    Tetesi: Mwigulu Nchemba amtishia mbunge wa CUF

    Mwigulu mwenyewe anajua fika kuwa watu hawampendi, rejea issue yake ya urais kasema vijana wanamchukia. Halina maana kabsa lile liuaji.
  12. mtungutu

    Kikwete: Mtaumbuka baada ya 2015

    Mzee wa porojo, mimi hata huwa sipotezi muda wangu kumsikiliza huyo dhaifu wenu.
  13. mtungutu

    Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Ni aibu kwa kiongozi kama Nape kutoa shutuma kwa kudhani, eti atuambie alienda nje kufanya nini? Nape njoo na ushahidi ndiyo hoja yako itakuwa na mashiko. Vinginevyo mnapoteza pesa na muda kujalibu kuwahadaa wananchi.
  14. mtungutu

    Picha na matukio: Kinana avibomoa CHADEMA, CUF na NCCR! Avuna mamia ya wanachama

    Propaganda za kizamani, Tanzania ya leo ccm hawana chao.
  15. mtungutu

    Jinsi gani naweza kurudisha files kwenye computer..????

    poa, ntaifanyia kazi na nitarudisha majib
  16. mtungutu

    Jinsi gani naweza kurudisha files kwenye computer..????

    Shukran, ngoja niitafute nikifanikiwa nitarudisha majib hapa
  17. mtungutu

    Jinsi gani naweza kurudisha files kwenye computer..????

    Wadau nina tatizo ktk computer yangu desktop-dell, partition mojawapo imepoteza files zote (hazionekani). Nikiangalia properties naona imetumika (used space). Nimejaribu kuangalia TOOLS ili nicustomize folders naona kila kitu kipo sawa. Tatizo lilianza kwa kublink na sometimes local disk hiyo...
  18. mtungutu

    Mwigulu Nchemba aagwa Iramba Magharibi

    Mwigulu siyo mtu wa kumjadili kwa sasa, kwani ni kama marehem anayetembea.
  19. mtungutu

    Kiini cha vurugu bungeni chabainika.

    Nadhani ukijikita zaid ktk hoja zaidi ya kuuliza shule ambayo si kigezo na si mahala pake pia. Kama umeona ni pumba ama haikuhusu pita tu kimyakimya.
Back
Top Bottom