Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Kijana ana mkono mmoja lakini anaweza kujituma kufanya kazi kujipatia kipato halali.
Ndio lakini kwa tabu na mateso makali.

Theory ya uumbaji hai make sense. Mimi binadamu wa kawaida mwenye madhambi kibao namuonea huruma huyu mwenzangu, iweje Mungu ambae yeye tunaambiwa ni Mungu wa upendo Mungu wa huruma hana huruma? Hizi imani za Mungu uwepo wa mtu kwenye mawingu anaeumba vilema halafu anasifiwa ni total nonsense na binadamu anazikubali hook line and sinker. Duuuh....
 
Mungu anaumba atakavyo,anaweza kumuumba kipofu na akawa na akili kukushinda wewe mwenye mach.Yupo mwalimu wa sayansi,anafundisha secondary,na ametunga vitabu vingi vya sayansi.Anakushinda hata wewe mwenye macho,hayo ndio maajabu ya Mungu,na wapo wengi ni vilema,lakini wanawashinda wenye macho.Yapo vilema matajiri,wapo maprofesa,wamewashinda wenye macho.Na Mungu ndio anaonyesha uwezo wake,kwa mwenye akili anaweza kuelewa wazi kama yupo Mungu,anayeyafanya yote haya,hata wewe akitaka kukugeuza kilema,haichukui hata dakika.Na bora kuwa kilema wa viungo,kuliko kilema cha akili.Kushindwa kufikiri na kuelewa,kama wewe yaonyesha una ukilema wa akili,unashindwa kuelewa.
 
Ndio lakini kwa tabu na mateso makali.

Theory ya uumbaji hai make sense. Mimi binadamu wa kawaida mwenye madhambi kibao namuonea huruma huyu mwenzangu, iweje Mungu ambae yeye tunaambiwa ni Mungu wa upendo Mungu wa huruma hana huruma? Hizi imani za Mungu uwepo wa mtu kwenye mawingu anaeumba vilema halafu anasifiwa ni total nonsense na binadamu anazikubali hook line and sinker. Duuuh....

Ulichokiandika kina mantiki fulani ila mimi ninaweza kusema labda Mungu anawaumba hawa vilema ili utukufu/matendo yake makuu yaweze kuonekana au unasemaje?

Ni mambo kama haya ndiyo yanayofanya watu tutambue uwepo wa Mungu. Pasingekuwa na watu kama hawa kila kitu kingekuwa sawa hakuna mtu ambaye angemkumbuka Mungu.

Cc; Kiranga.
 
Last edited by a moderator:
Mungu aumba atakavyo,na anaweza kumbadilisha mtu,kuwa kilema dakika tu.Na bora kuwa kilema wa viungo kuliko ukilema wa akili.Ukiwa kilemwa wa akili,hata uwe katkati ya mali za kila aina lakini unakuwa maskini.
 
Ulichokiandika kina mantiki fulani ila mimi ninaweza kusema labda Mungu anawaumba hawa vilema ili utukufu/matendo yake makuu yaweze kuonekana au unasemaje?

Ni mambo kama haya ndiyo yanayofanya watu tutambue uwepo wa Mungu. Pasingekuwa na watu kama hawa kila kitu kingekuwa sawa hakuna mtu ambaye angemkumbuka Mungu.

Cc; Kiranga.

Mungu anayehitaji kuumba vilema ili utukufu wake uonekane hana utukufu.

Ana standards za morality zilizo chini ya za mwanadamu.

Mungu kumuumba binadamu kilema ili utukufu wake uonekanewakati ana uwezo wa kumuumba mzima ni sawa na baba kukmkata mtoto wake mguu kwa makusudi ili tu ubaba wake uonekane.

That is one sicko god if you ask me.

Kama mungu kweli ana uwezo wa yote basi angekuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna vilema, halafu bado tukawa na uwezo wa kumtambua, hata kama angeweka bango tu juu angani linalosema "Niabuduni mimi mungu niko huku juu".

Ukichunguza sana utaona hizi habari za mungu ni kamba tu. Hazina uthibitisho wala consistency.
 
Kama kuwako Mungu,ambaye ndiye aliyeumba viumbe vyote na kila kilichomo duniani, si za kweli basi pia kila kilichotengenezwa duniani,hakikutengenezwa,kimejitengeza mwenyewe.Nina uhakika ukisema Gari aina yoyote au Radio aina yoyote au Nyimba aoina yoyote hakuna aliyevitengeza hivyo utaonekana mjinga na Huna akili.Ni sawa na kuona unyao wa simba,halafu useme unyao huo umejitengeneza wenyewe,utaonekana huna akili au akili zako hazina akili.Kila unachokiona kwa macho yako kwa kuhisi ujue yupo aliyekifanya kiwepo.Na ndio huyo huyo aliweka production date na expire date.Ndio mwanadamu anazaliwa,ndio production date yake,na anakufa ndio expire date yake.Kwa hiyo huyo Mungu aliyemuumma mwanadamu ndio huyo amewka production date na expire date.Wewe unayo production date yako,sasa unasubiri expire date yako.Sasa kama hakuna Mungu,ondoa Expire date yako,usife,au ondoa expire date ya umpedaye yoyote,kama mkeo au mwanao au mzazi ,au mpenzi wako.Wasife,waishi milele,hapo ndio hoja zako zitaonekana zina akili.ukishimdwa hapo kuondoa expire date,ujuwe Mungu yupo.Ipo mifano mingi kwa mwemye akili kujuwa kuwa yupo muumbaji,ambaye ndiye Mungu.
 
Kiranga;
Unajuaje kwamba wewe viungo vyako vimekamilika? Wapi pamesema kwamba binadamu inabidi awe na kichwa kimoja na siyo vinne au vitano? Huyo unayemwona ni kilema anaweza akawa ni sawa tu na wewe kwa sababu pengine Mungu angekupa vichwa saba ndiyo ungekuwa uko kamili lakini sasa kaamua kukupa kimoja and still you do no what you are missing. We ukiona kila mtu ana kichwa kimoja basi unajua binadamu anatakiwa awe na kichwa kimoja. Anyway ni kwamba tu uko mbali sana na Mungu ila ukimkaribia is as easy as abc ku-experience uwepo wake. Siyo kujua ila ni ku-experience, zingatia tofauti!
 
Kweli kabisa. Kwamba Kiranga yeye yupo ila Mungu hayupo. Kama ikitokea siku Kiranga akakubali kwamba hayupo na akathibitisha kwamba hayupo, hapo basi atakuwa amethibitisha pia kwamba Mungu hayupo, na sitamuuliza tena maswali baada ya hapo
 
Last edited by a moderator:
Kama kuwako Mungu,ambaye ndiye aliyeumba viumbe vyote na kila kilichomo duniani, si za kweli basi pia kila kilichotengenezwa duniani,hakikutengenezwa,kimejitengeza mwenyewe.

Si kweli.Inawezekana kabisa kwamba mungu hayupo na vilivyo duniani havijajitengeneza vyenyewe.
Nina uhakika ukisema Gari aina yoyote au Radio aina yoyote au Nyimba aoina yoyote hakuna aliyevitengeza hivyo utaonekana mjinga na Huna akili.Ni sawa na kuona unyao wa simba,halafu useme unyao huo umejitengeneza wenyewe,utaonekana huna akili au akili zako hazina akili.Kila unachokiona kwa macho yako kwa kuhisi ujue yupo aliyekifanya kiwepo.

Ukisema hivi utajiingiza katika contradiction. Kwa sababu hata huyo mungu anayedaiwa kuvitengeneza vitu vyote, naye atahitaji kuwa ametengenezwa. Ukikataa hilo na kusema kwamba mungu hakutengenezwa, then unakubali kwamba si kila kitu ni lazima kitengenezwe na hivyo si lazima mungu awe ndiye aliyetengeneza kila kitu.
Na ndio huyo huyo aliweka production date na expire date.Ndio mwanadamu anazaliwa,ndio production date yake,na anakufa ndio expire date yake.Kwa hiyo huyo Mungu aliyemuumma mwanadamu ndio huyo amewka production date na expire date.Wewe unayo production date yako,sasa unasubiri expire date yako.

Bado unarudi palepale. Kama kila kitu kinahitaji muumba, basi hata mungu anahitaji muumba.Kama mungu hahitaji muumba, basi si kila kitu kinahitaji muumba na hivyo inawezekana vyote visiwe vimeumbwa na mungu.There is no escaping this conundrum.
Sasa kama hakuna Mungu,ondoa Expire date yako,usife,au ondoa expire date ya umpedaye yoyote,kama mkeo au mwanao au mzazi ,au mpenzi wako.

Mwanadamu kushindwa kupata ufumbuzi wa matatizo fulani hakumaanishi kwamba mungu yupo. This is a logical non-sequitur.

Wasife,waishi milele,hapo ndio hoja zako zitaonekana zina akili.ukishimdwa hapo kuondoa expire date,ujuwe Mungu yupo.

The second law of thermodynamics explains death quite well. I do not need the god hypothesis.

Uwezo wa kukishinda kifo unaprove vipi kuwepo au kutokuwepo kwa mungu? Toa uwiano na mahusiano hapa.

Ipo mifano mingi kwa mwemye akili kujuwa kuwa yupo muumbaji,ambaye ndiye Mungu.

Mifano gani? Itaje. Unajua "kujuwa" ni nini?
 
Kiranga;
Unajuaje kwamba wewe viungo vyako vimekamilika? Wapi pamesema kwamba binadamu inabidi awe na kichwa kimoja na siyo vinne au vitano? Huyo unayemwona ni kilema anaweza akawa ni sawa tu na wewe kwa sababu pengine Mungu angekupa vichwa saba ndiyo ungekuwa uko kamili lakini sasa kaamua kukupa kimoja and still you do no what you are missing. We ukiona kila mtu ana kichwa kimoja basi unajua binadamu anatakiwa awe na kichwa kimoja. Anyway ni kwamba tu uko mbali sana na Mungu ila ukimkaribia is as easy as abc ku-experience uwepo wake. Siyo kujua ila ni ku-experience, zingatia tofauti!

Mimi najua viungo vyangu havijakamilika, nishakwambia kuna ukoo wa Wachagga wenye miguu mitatu wanaishi juu ya mlima Kilimanjaro.

Ushawahi kuwa "experience" hao? /s.
 
Kweli kabisa. Kwamba Kiranga yeye yupo ila Mungu hayupo. Kama ikitokea siku Kiranga akakubali kwamba hayupo na akathibitisha kwamba hayupo, hapo basi atakuwa amethibitisha pia kwamba Mungu hayupo, na sitamuuliza tena maswali baada ya hapo
Pint yako nzuri mheshimiwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom