Search results

  1. R

    Msaada kuhusu msamaha wa kodi kwa gari inayoingizwa kama personal effect

    Tafadhali naomba mwenye ufahamu /uzoefu anisaidie katika hili; Ikiwa mtanzania aliyeko nje ya nchi ana gari lake analolitumia nje ya nchi na anataka kwenda nalo Tanzania lakini umri wa gari ni zaidi ya miaka 10, je anapata examption hii iliyotajwa hapo juu au sheria ya damping fee inamzuia...
  2. R

    Mlima kilimanjaro umetinga rasmi kwenye fainali za kutafuta new 7 world wonders of th

    MLIMA KILIMANJARO UMETINGA RASMI KWENYE FAINALI ZA KUTAFUTA NEW 7 WORLD WONDERS OF THE WORLD YAANI MAAJABU 7 YA DUNIANI. TUNASHUKURU BWANA ANKAL KAMA ULIVYORIPOTI HAPO SIKU ZA NYUMA TUUPIGIE KURA MLIMA WETU, KWENYE MTANDAO HUU WA JAMII. WAKATI WA TAARIFA HIZO, MLIMA KILIMANJARO ULIKUWA NDANI YA...
  3. R

    Mlima kilimanjaro inahitaji kura yako kuwa katika new 7 wonders of the world

    JAMANI TUPIGE KURA KUPITIA 7newwonders.com TAFADHALI HAMASISHA WENGINE PIA . Wednesday June 23, 2010 Local News Kilimanjaro seeks support in ‘Nature wonders’ race From MARC NKWAME in Arusha, 20th June 2010 @ 16:00, Total Comments: 0, Hits: 276 WITH only seven months to...
  4. R

    Nyumba nzuri inapangishwa Tegeta- nyaishozi

    Nyumba inapangishwa iko Tegeta -Nyaishozi- karibu mita 500 tu kutoka barabara ya lami -bagamoyo road (upande wa beach). Ina vyumba viwili vya kulala-mojawapo ni selfcontained, ina sebule, dining, jiko na choo/bafu la public. Nyumba iko ndani ya fence ya ukuta wa matofali na ina geti imara. Pia...
  5. R

    Msaada wa taarifa ya generator ya kukodi

    MSAADA WA TAARIFA YA GENERATOR YA KUKODI Naomba kama kuna yeyote anajua mahali ninapoweza kukodi generator anitaarifu tafadhali. Niko DSM na nahitaji generator kwa ajili ya kufanyia fitting ya madirisha ya chuma (grills) kwenye nyumba ambayo haina umeme
  6. R

    Msaada wa taarifa ya generator ya kukodi

    MSAADA WA TAARIFA YA GENERATOR YA KUKODI Naomba kama kuna yeyote anajua mahali ninapoweza kukodi generator anitaarifu tafadhali. Niko DSM na nahitaji generator kwa ajili ya kufanyia fitting ya madirisha ya chuma (grills) kwenye nyumba ambayo haina umeme
Back
Top Bottom