Nyumba ya kisasa inapangishwa bei rahisi -changanyikeni -dsm

Mmmmh, mkuu ar u serious, hebu tuambie kisa cha kupangisha eneo lote hilo kwa bei rahisi namna hiyo.

Vyumba vya kulala, frame za biashara, and a lot, au ndo zile sehem ambazo mtu ukiishi unachapwa bakora usiku na mashetani???

Hebu tuambie ukweli ndugu.
 
Vipi majambazi washakwisha huko? Naona lami mshawekewa siku hizi,vp lile pori lenye wezi lishatolewa?

Kwa unayetaka kupanga huko make sure una gari na mguu wa kuku otherwise utakimbia kama jamaa!
 
laki mbili nyumba, laki mbili wezi="laki nne, + laki mbili sim mpya kila mwezi+ laki sita, laki mbli kutafuta maji=800000
 
hahahah mie coments zilizotolewa kny hii topic zimenichekesha sana mara kuchapwa usiku na mashetani,,mara majambazi ,mguu wa kuku...lol
 
Back
Top Bottom