Msaada kuhusu msamaha wa kodi kwa gari inayoingizwa kama personal effect

Reasoning

Member
Mar 7, 2009
57
15
Tafadhali naomba mwenye ufahamu /uzoefu anisaidie katika hili; Ikiwa mtanzania aliyeko nje ya nchi ana gari lake analolitumia nje ya nchi na anataka kwenda nalo Tanzania lakini umri wa gari ni zaidi ya miaka 10, je anapata examption hii iliyotajwa hapo juu au sheria ya damping fee inamzuia? Tafadhali naomba mwenye ufahamu mzuri wa jambo hili anielimishe

Kwa kupitia website ya TRA, Maelezo niliyopata ni haya tu:

Tax Rights and Obligations To Tanzanian Diaspora

6.0 Tanzanians Changing Residence

Tanzanian changing residence from outside Tanzania to within shall on their first arrival shall be exempted from duties and VAT on their personal effects. These include:-

Wearing apparel for personal use.
Household effects which were being used by the person.
One motor vehicle with less than 13 passengers sitting capacity.
This exemption is available to any person who is over 18 years old. Furthermore, the personal effects must be the property of the person claiming the exemption. For a motor vehicle to qualify for exemption, it must be owned by the owner for at least twelve months excluding the period of the voyage.

Empower the economic growth of Tanzania through your contribution as a diaspora.

NB : The 5 th Schedule has been amended to limit the exemption of import duty
granted on importation of motor vehicles by returning residents to only four (4) years
before the beneficiary can enjoy another exemption.
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Call this guy works with TRA head office and he deals with exemption isuues.

Mr Kitundu: +255-787-233427 introduce yourself, he will assist you.
 
Thanks a lot Blue Balaa for this useful contact, i will consult him
 
Sawa kama jamaa wa TRA watakusaidia, lakini chunga kitu kimoja - kama cotaina litashusha gari lako bandarini ufanya juu chini uichukue mara moja. Ukichelewa tu jamaa wa bandarini wanalipeleka kwenye site ya macontainer inayomilikiwa na MAFISADI akina Patel, Rostam na akina RICHMOND-Lowasa. Huko watakudai ulupe malaki ya madola kuitoa. Huu ni ukweli mtupu. Bandari ya Dar haimilikiwi tena na Serikali ila ni majambazi wachache walioiba pesa zetu za EPA na benki kuu wakanunua viwanja vya kupokelea macontainer kama ule uwanja wa Ubungo. Hapa serikali haipati kitu chochote hapo bandarini, ni vijisenti tu, pesa zooote wanachukua hao niliowataja, isitoshe Mkuu wa bandari, Waziri na Rais wapo na wanajua lakini hawafanyi lolote. Anyeumia, ni wewe kabwela mwenzangu. Chunguza vizuri na hakikisha gari lako linatoka kwa halali sio kwa rushwa na kuwaneemesha hawa MAFISADI.
 
Asante Mkuu Chagula kwa kuchangia vizuri sana, hii ni habari nzuri sana. Kwa kweli ni balaa! wenzetu wamejisahau kabisa. Lol1
 
Sawa kama jamaa wa TRA watakusaidia, lakini chunga kitu kimoja - kama cotaina litashusha gari lako bandarini ufanya juu chini uichukue mara moja. Ukichelewa tu jamaa wa bandarini wanalipeleka kwenye site ya macontainer inayomilikiwa na MAFISADI akina Patel, Rostam na akina RICHMOND-Lowasa. Huko watakudai ulupe malaki ya madola kuitoa. Huu ni ukweli mtupu. Bandari ya Dar haimilikiwi tena na Serikali ila ni majambazi wachache walioiba pesa zetu za EPA na benki kuu wakanunua viwanja vya kupokelea macontainer kama ule uwanja wa Ubungo. Hapa serikali haipati kitu chochote hapo bandarini, ni vijisenti tu, pesa zooote wanachukua hao niliowataja, isitoshe Mkuu wa bandari, Waziri na Rais wapo na wanajua lakini hawafanyi lolote. Anyeumia, ni wewe kabwela mwenzangu. Chunguza vizuri na hakikisha gari lako linatoka kwa halali sio kwa rushwa na kuwaneemesha hawa MAFISADI.

Asante mkuu kwa hizi hints
 
Mkuu Reasoning naomba feedback kama ulifanikisha hili swala na ilikuwaje. Pia nime ku inbox please
 
Back
Top Bottom