Search results

  1. AlMusoma

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Mafunzo mazuri ya ukakamavu lakini mbali ya hilo sioni zuri lilikuwepo JKT. Bullying, uonevu na raping in all but name. Kwa waliokuweko Mafinga (Nguvu Kazi - 1983/4) D-Coy watawakumbuka Commando, Mpogole Mpilano Nico Kimbunga na wengine. Yes, the disco bit and night time comical stories were...
  2. AlMusoma

    Mwenyekiti wa TA UK

    Nafikiri hili sana ni suala la waliomchagua. Sehemu muafaka ya kujadili masuala haya ilikuwa kwenye vikao vya kampeni kabla ya uchaguzi. Kwa sasa nafikiri ni muhimu kusubiri PhD ya mgombea anayefuata. Samahani kama nimekosea, ni maoni binafsi...
  3. AlMusoma

    I hate you Jo burg, I hate O.R Tambo I. A

    I can understand how you are feeling and all I can say is, pole sana. It is a shame kwamba mambo haya yanatokea kila kona Afrika. Nenda msikitini Mwanza mara umeibiwa viatu, it is a shame...
  4. AlMusoma

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Siamini kamwe kuwa wanao-miss JKT wanazungumza toka moyoni. Licha ya mazoezi mazuri ya kijeshi na ukakamavu, lazima ikubalike pia kuwa waliokosa JKT waliepukana na mateso, uonevu na unyanyasaji. Kama ningewajibika kurejea nyuma na kwenda JKT nikijua ninayoyajua sasa nisingekwenda na...
  5. AlMusoma

    Tuition Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Kawaida si mpenzi wa kuandika makala ndefu lakini kwa vile umenigusa, nitajitahidi hususan kwa sababu suala hili linanikera sana na halihusu tu walimu - wamo madaktari na watu wa fani nyingine. Nianze na tuition ambayo haikuwepo wakati wa zama zangu - na sijafika miaka hamsini bado. Hata hivyo...
  6. AlMusoma

    Kawawa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam

    Inna lillah wa inna ilaihi raajiuun. May his soul be granted a place in janna. Those who have been fortunate enough to have witnessed the political phases over the last three decades will probably agree with me that - like Julius Nyerere and a few others - Mzee Kawawa was undoubtedly a rare...
  7. AlMusoma

    ktk hili tigo wamefulia

    ...one is "usarama" and the other "kukeleketa". What a swap!
  8. AlMusoma

    ktk hili tigo wamefulia

    ...one is "usarama" and the other "kukeleketa". What a swap?
  9. AlMusoma

    Je ni lazima Engineer aitwe kwa initial ya Eng.?

    Using the title engineer is just a convention which although not quite common within the British educational system it is a standard title for qualified engineers in most countries in continental Europe and elsewhere. With or without it one should not really loose sleep over it unless, of...
  10. AlMusoma

    Je ni lazima Engineer aitwe kwa initial ya Eng.?

    Using the title engineer is just a convention which although not quite common within the British educational system it is a standard title for qualified engineers in most countries in continental Europe and elsewhere. With or without it one should not really loose sleep over it unless, of...
  11. AlMusoma

    Obama amekosa nini jamani?

    Nothing surprises me - it is a reflection of a loving poor African parent - like many millions across the continent and beyond. The only hitch is that he may have missed that love from his own father, but otherwise it is all fine...
  12. AlMusoma

    Mo Dewji na plagiarism kutoka NY Times

    It would have been easy for Mo to give it ti us as a translated version of the orginal article. As a repreentative of the people being accused of plagiarism is quite nasty - surely, Mo owes all readers and the original author an apology.
  13. AlMusoma

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    Hili suala la vyeti feki ni la kufutuatiliwa na Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi an Teknolojia. Sijui kama wazir na katibu mkuu wake hawana taarifa hizi. Kuhakiki kuwepo au kutokuwepo kwa taasisi ya elimu ya juu katika dunia ya sasa ni kitu rahisi sana hata kama chuo kingesemekana kuwa ndani ya...
  14. AlMusoma

    Upsetting photo

    Sad. It is indeed sad to see this sort of image. The photo may well have been doctored but there is no doubt is a true reflection of the harsh reality on the ground in that part of the world. It is a reminder to most of us who take things for granted. The other day I went out to Wet and Wild in...
  15. AlMusoma

    A multi-million shilling question...

    Senior employees of most institutions in Tanzania (particularly state or semi-state owned) are paid the so-called "sitting allowances" when they sit on committee or managerial meetings. The payments tend to be hefty sums of money and in most cases a single "sitting allowance" is more than an...
  16. AlMusoma

    Hamjambo wapenzi wangu!

    Senior employees of most institutions in Tanzania (particularly state or semi-state owned) are paid the so-called "sitting allowances" when they sit on committee or managerial meetings. The payments tend to be hefty sums of money and in most cases a single "sitting allowance" is more than an...
  17. AlMusoma

    Nyimbo za abba

    Zote karibu ziko on-line. Youtube had ABBA Gold and and others - but some have now been taken off. The best way is to google-search them. You may also wish to get hold of MAMA MIA - a recent movie set on a Greek island with a story fully narrated through a series of ABBA hits...
  18. AlMusoma

    Mkopo wa haraka unatakiwa

    We mutani hiyo ni alamu...
  19. AlMusoma

    The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    He was once warned by Mwalimu against those who stood above him in terms of not only academic qualifications but also what very quickly proved to be basis reasoning and strategic planning. His political career was built on flagile foundations, on bricks of ice in the desert which gave him an...
  20. AlMusoma

    Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

    You may represent your US experience - but it is the same across the globe...
Back
Top Bottom