Search results

  1. costerntine

    DIAGNOSTIC CODES

    Safisha sensor YA camshaft kwanza ikikataa kfanyakazi funga mpya au inwezekana wire imekatika
  2. costerntine

    Premio vs allion

    allion ninzuri zaid kwasababu inaenda na wakati wa kidigital
  3. costerntine

    Msaada: Ninampango wa kuagiza gari Japani, nililolipenda halina antilock brake system (abs).

    Taa ni ishara warning kuwa mfumo wa brake unatatizo kama vile blakefluid imesha. Hauwezi kupata kabisa Blake.. Kama blakefluid ikosawa na haivujishi kwenye system Haina shida Sana maana yake sensor kwenye maguludum zinatatizo so Blake utapata lakini utakosa wepesi wa kushika kwa blake(ufanisi wa...
  4. costerntine

    Msaada: Ninampango wa kuagiza gari Japani, nililolipenda halina antilock brake system (abs).

    Kama gari sio automatic. Haina kazi, kama ni automatic agiza mfundi wakuwekea. Maana ABS inacontroliwa na kitu kiitwacho ECU, ECM(ELECTRONIC CONTROL UNIT)usaidia kupunguza speed YA engine unapo kanyaga pedel YA blake na kubalance maguludumu yote kushika Blake kwa usawa ili gari ISI sote upande...
  5. costerntine

    Msaada wa kiufundi unahitajika

    Timing seting Iko nyuma na inasababishwa na kuisha kwa timing belt. Badilisha timingbelt
  6. costerntine

    MSAADA nataka kujua Pikipiki YA kichina yenye spiid kubwa

    Ndugu zangu natafuta engine yakichina yenye nguvu naspiidi kubwa sijui ni ip nataka kumodify pikipiki yangu aina YA Honda cb125 maana spare original zimenishinda
  7. costerntine

    Msaada juu ya Toyota Raum yangu

    Switch za milango hazifanyikazi so muonefundi
  8. costerntine

    Ukubwa wa engine ya Gari una uhusiano gani na consumption ya mafuta

    elimu ya matumizi ya mafuta ni ndefu kidogo coz kuna mahesabu ya gear ratio./engine speed/weight/na cylinder volume formula permin. per km
  9. costerntine

    Gari kudai gia

    Ina maanisha gari yako inanguvu sana.kiasi ambacho ata muundaji wa hiyo gari ange ongeza gia namba6 7 ingefanya kazi vizuri kwa mwendo lakini kutokana na masuala ya kimahesabu itabaki hivyo kwani kama gari inagia5 basi ni5tu
  10. costerntine

    Natamani kula Nyama

    hiyo maanayake ni areji so kuna dokta aliniambia hakuna dawa zaidi ya kuacha kinacho kudhuru maana mimi nina jamaa yangu akila nyama ya cow anavimba uso natumbo kuumaa.,pia niwaombe ndugu tunaochangia kwenye mambo ya msingi hasa matizo tusichanganye na masihara coz wengine tunakereka coz...
  11. costerntine

    samahani sana wadau

    samahani wadau wangu mliotuma sms nikashindwa kuzijibu na post nilikuwa nje na teknology so nime ruditena kwa kasi ya 4g na mkongo wa taifa
  12. costerntine

    Ebu tudiscus hii idm naona nina 1.5years nashindwa fanya yangu

    Usifanye hivyo maana once unapofanya mistake lazima utajutia mda ulio upoteza kuandaa kuload windows upya chakufanya kuna idm yenye regkey ambayo uta run kweny directory ya idm hii ni 100/100 au fanya kamaulivyo ambiwa na KANG ispokuwa kuna fures utazikosa
  13. costerntine

    Msaada, nahitaji kujifunza Arduino

    Electronics sofware
  14. costerntine

    Ebu tudiscus hii idm naona nina 1.5years nashindwa fanya yangu

    Ok. Go for new virsion torrent has it all you need bitlodtorrent is better
  15. costerntine

    Abs light clearing and codes

    How do you clear ABS light
  16. costerntine

    Kompyuta yangu ina tatizo la window

    Kwa Password huwezi hata kuingia kwenye boot seting hiyo itakuwa na matatizo kweye system ya ram au procesor
Back
Top Bottom