Search results

  1. N

    Hv hawa polisi ni miungu watu?

    Habarini wanajukwaa,naomba nitumie dakika mbili kuuliza na kwa yeyote mwenye ufahamu na anifungue.Hv hawa polisi wa usalama barabarani ni miungu watu?hv kuna uhalali gani wa kila gari inayopita dereva atoe 3000 au 5000?inashangaza tabia hii inayochangia wananchi kulichukia jeshi la polisi na...
  2. N

    Naomba msaada wa kitaalam kurudi digital.

    Ndugu zangu mm ni maskini katika eneo hili la kiteknolojia,nina iPhone ya kichina na nataka kuiunga na huduma za internet nifanyaje?au huwa hazifungui internet?na km hivyo inawezekanaje simu ya 120000 isifunguke internet?nisaidieni waungwana mm wazazi wangu hawakunipeleja shule shauri ya ufukara
  3. N

    Je,ungekuwa wewe ungefanyaje?

    MKWE;yaani unakuja kuposa binti yangu huku unakula chewing gum{big G}?JAMAA;mdomo unanuka nilivuta sigara,MKWE;na sigara unavuta?JAMAA;nilivuta jana nilipokunywa pombe wakati nipo club,MKWE;heee! Hadi pombe unakunywa? JAMAA;nilijifunza wakati niko jela,MKWE;mtumeee...na kufungwa ulishafungwa...
  4. N

    Kisa cha Tabora kuwa nyuma kielimu

    Habari zenu wanajukwaa, Naomba kwa ufupi sana nibainishe sababu kadhaa zinazochangia kushukaa kwa kiwango cha elimu katika mkoa wa Tabora,kwanza mazingira magumu kutokana na jiografia ya mkoa ulivyo,pili uhaba wa walimu na vifaa vya kufundishia kutokana na idadi kubwa ya walimu kuhama mkoa kwa...
Back
Top Bottom