Search results

  1. Mutensa

    Advanced Excel Training - Register now

    Hello, We are professional trainers in office applications and many other professional and career enhancement areas. Our well organized tools and techniques are meant to shape your skills to deliver the best to your clients, managers, employers, employees, students, etc. Advanced Excel...
  2. Mutensa

    Vyama vya jamii (kufa na kuzikana) - Matatizo na ufumbuzi

    Katika pita pita zangu, nimegundua kuwa watanzania wengi huwa wanaunda vyama vya kijamii kwa ajili ya "kusaidiana katika shida na raha". Leo naomba tuangazie matatizo ambayo ni commom kwa vyama vingi na tujaribu mwisho wa siku kuyatafutia ufumbuzi kwani vinapoteza hela nyingi za watanzania...
  3. Mutensa

    HD Documentaries

    Wakubwa, mimi ni mpenzi wa kuangalia documentaries. Naomba kujua hapa Dar es Salaam naweza kupata wapi HD quality documentaries. Nikipita kwenye libraries nyingi nakutana na movies tuu, ila documentaries sijaona.
  4. Mutensa

    Kasheshe la morogoro road

    Wanajamvi. Kuna ajali iliyotokea morogoro road watu wamelala kwenye magari. Mwenye update atujuze. Naongelea kipande cha mbezi hadi kibaha.
  5. Mutensa

    Water level sensor

    Hello, Natafuta water level sensor + indicator inayoniwezesha kujua level ya maji kwenye tanki. Inaweza kuwa midhiri ya ile ya mafuta kwenye gari au hata "digital version" yake. Niko Dar es Salaam. Kwa anayejua pa kuipata naomba anijuze.
  6. Mutensa

    Dalali anahitajika - Kariakoo area

    Natafuta dalali mwenye uzoefu na network upande wa kariakoo. Nahitaji duka/frem. Naomba kama wewe ni dalali au unaye dalali unayemfahamu mwenye kushughulika Kariakoo nipe contacts zake hapa. Ukiona noma kuziweka namba zake adharani, basi naomba ni-pm. Ahsante sana.
  7. Mutensa

    Natafuta fundi wa suruali

    Natafuta fundi mzuri wa suruali mwenye kuzingatia muda na kutunza ahadi. Awe ubora wa kazi. Asiwe mtu wa kufiwa na kuuguliwa au kuugua kwa kusingizia. Kama unamjua mwenye sifa hizi nipe contact yake hapa au ni-pm. Pesa sio issue, niko radhi kulipa premium kwa quality zilizotajwa hapo juu. Asante...
  8. Mutensa

    Dot Kom hii

    Nimetoka zangu home jioni kumsindikiza mgeni. Nakutana na mtoto wa kike, bila shaka fom 4. Anatoka shule - kitu pekee kinachomtambulisha kuwa ni mwanafunzi ni Unifomu. Vinginevyo amekamata smatifoni, whatsap kwa wingi na simu inaingia hii, inakatwa hii, inapokelewa ile. Hakuna hata daftari moja...
  9. Mutensa

    Natafuta mteja wa mahindi June/July 2014

    Wakubwa, Nategemea kulima acre 15 na zaidi za mahindi kwa kutumia mbegu mpya ya H600. Kwa matarajio yangu, nitavuna mnamo mwezi wa 6/7 mwakani (2014). Kwa mwenye mahitaji makubwa ya mahindi (shule, hotel, kambi, duka la jumla, etc) awasiliane nami. Ni-pm au piga 0769 608 996. Pengine utajiuliza...
  10. Mutensa

    Natafuta "EKILELE KY'ORUBISI"

    Ekilele ni kile kibuyu kidogo che mshikio mrefu huwa kinatumiwa na wagurusi kule Bukoba. Kwa anayejua mahali ninapoweza kukipapa anijuze.
  11. Mutensa

    Duka Jipya la Nguo za kika mama na watoto Mbezi Louis

    Habari njema kwa wakazi wa Mbezi, kimara, Kibamba, Kibaha. Usihangaike tena na foleni kwenda mjini kufanya shopping. Sasa nguo za kina mama na watoto zinapatikana Mbezi Louis kwenye duka letu jipya kabisa. Ziko za aina na size tofauti - pia bei zetu ni nzuri. Unakaribishwa - fika upate huduma...
  12. Mutensa

    Greenhouse ya bei nzuri

    Natafuta greenhouse ya bei nzuri. Naomba mwenye kujua wapi naweza kuipata anijuze. Nahitaje iwe complete system ikiwa na drip irrigation system yake. Size kuanzia 8mx15m.Ahsante.
  13. Mutensa

    Mbegu za Nyanya aina ya Anna F1

    Wakubwa salaams, naomba mwenye kujua wapi naweza kupata mbegu za nyanya aina ya F1 hapa dar es salaam anifahamishe. Ahsante. Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  14. Mutensa

    Natafuta Frem ya biashara na contact za madalali

    Wanajamvi, natafuta Frem ya biashara maeneo yafuatayo. - Sinza - Mwenge - Kijitonyama - Kariakoo Sifa zinazotakiwa, iwe inatazama barabara kuu za mtaa au kwenye mkusanyiko wa watu wa kutosha kuvutia biashara. Mwenye kuwa nayo au kujua fremu hiyo ilipo anijulishe kupitia mutensa@live.com Pia...
  15. Mutensa

    Plot 2 luguruni sheli

    Nauza plot mbili, eneo zilipo unaingilia luguruni sheli. Ziko pembeni mwa barabara hiyo ya ndani, si mbali na main road. Zinafikika vema na gari na umeme upo. Tuwasiliane mutensa@live.com au ni-pm kwa details.
  16. Mutensa

    Natafuta nguo za jumla za watoto

    Naomba mwenye biashara ya wa nguo za watoto za jumla tuwasiliane ili tufanye biashara. e-mail: mutensa@live.com
  17. Mutensa

    TIN ya kwenye leseni ya udereva inaweza kutumika kwenye biashara?

    Naomba msaada, ile TIN number ninayotumia kulipia road licence naweza kuitumia kwa biashara nyingine. Na je nahitaji kufanya kitu chochote huko TRA kama kujaza fomu etc kabla ya kuitumia kwa biashara.
  18. Mutensa

    Msaada: Mbinu Kufukuza Nyoka mashambani

    Wapendwa, Katika jitihada za kupambana na umaskini, nilichukua kakichaka ambako nakasafisha kwa ajili ya shamba na shughuli za ufugaji. Changamoto niliyokutana nayo ni kuwa: 1. Kuna vichaka vingi vinavyozunguka eneo hili kiasi kwamba hata nikisafisha bado majirani zangu wanabaki na vichaka 2...
  19. Mutensa

    Mabachela/Kina mama wasio na wafanyakazi: msaada huu hapa

    Wapendwa, si vibaya kushirikishana mambo ya maanjumati kutokana na uzoefu. leo nimeamua kuwasaidia mabachela ili waache kula vyakulahafifu kwenye mama ntilie wajitengenezee misosi home haraka. Basi tenga muda kwenye weekend nunua vitunguu vya kutosha, vitunguu swaumu, pilipili hoho, nyanya...
  20. Mutensa

    Mashine ya kukamua alizeti

    Wakubwa heshima mbele, Naomba kujua mahali wanapokamua alizet hapa dar. Nafikiria kulima zao hili ukanda huu wa pwani lakini sijajipanga kununua mashine ya kukamua, hivyo ningenufaika kama mtu atanijuza wapi naweza kukamulia baada ya kuvuna. Natangulia shukrani.
Back
Top Bottom