Search results

  1. U

    JK atia saini Ongezeko la Posho kwa wabunge

    Hata za madaktari kakabidhiwa waziri husika, mheshimiwa kesha sisaini tayari:A S 465:
  2. U

    Ni nini kinamwandama Dr. Chami?

    Hauwezi hata kama wangeunganishwa 5
  3. U

    Hili la Cleopa ni kama TUSI kwa Jakaya

    Ni kweli hata kama tutakuwa na mikakati mizuri, bila strong leadership ni kazi bure
  4. U

    Mh. Celina Kombani AMCHANA Lissu Bungeni

    Huyu mama ni kilaza, anaonyesha inferiorism kwa sababu they are suprised with anything they hide.
  5. U

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Kwani hii serilkali ambayo ina jk, ngeleja na jaioros ina nguvu kuliko umma uliowaweka madarakani? kwa kweli sisi watz, sijui
  6. U

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Tupeni na picha basi mlioko kwenye hiyo sherehe
  7. U

    Mbunge wa TARIME apigwa na wananchi

    Nyangwine wa Mkwawa complex ?, nakumbuka Majembe ilikuwa ndiyo ya Wasichana, kama ni uzao wa Mkwawa kwanini hana utetezi kwa wapiga kura wake, ila poa tuu, apate kichapo naamini kinatoka pande zote mbili za waliomchagua kwa maana wameshamchoka,na ambao hawakumchagua Hiyo ndiyo demokrasia ya kweli.
  8. U

    Naomba mwenye cv na datas za rita

    Ana Phd kutoka Rwanda
  9. U

    Hivi ni Kweli Wabunge Waislamu Bara ni 15 tu? Wazanzibar wanatuletea Udini Mbaya?

    Hii thread ni ugoro mtupu, sijui jamaa anaota, issue hot na nzito zinazobeba mustakabali wa nchii ambazo ziko Bungeni hazina mahusiano na lithread lake lisilokuwa na kichwa wala miguu Mkuu tuna shida na umeme na wala si misikiti au makanisa, hiyo adhana utaipigia nini kama huna umeme. WAOMBE...
  10. U

    Ngeleja akiri kazi aliyopewa ngumu

    Mkuu of course serikali imeshindwa kuongoza hivyo it has to stay aside wengine waongoze, 50 years ya Uhuru ni blah blah kila siku lakini at whose expense? Tumeongea swala la Nuclear Energy mwaka wa kumi no development no nothing, wakibanwa bungeni na wapinzani wachache ndiyo wanaibua hoja ya...
  11. U

    Nimetimuliwa na baba mkwe

    Inaelekea umelipa mahari kidogo tofauti na mlivyokubaliana, kwa hiyo unaonyesha unataka mtoto wa watu bure Kama wewe ni fukara omba upewe bure.:target:
  12. U

    Katiba mpya itaweza kutoa suluisho kwa yaliyojitokeza?

    Wanajf Katiba mpya inatakiwa kwa kuwa iliyopo sasa hivi haifai, kwa hiyo itakayokuja pengine itakidhi mahitaji ya kisheria ambayo ya sasa hivi haikidhi. Nauliza kwamba hiyo katiba mpya itakayokuja itaweza kutatutua matatizo yaliyoshindikana kwenye katiba ya zamani au itategemea na muundo wa...
  13. U

    Miss World

    Hivi hawa majaji wa Miss Tanzania wapo ambao waliwahi kushiriki/kuhudhuria Miss World,? hii itawasaidia wakati wanajaji Miss Tanazania kwani watakuwa wanafocus namna ya kumpeleka miss world
  14. U

    Elections 2010 Do you know why not Dr Slaa 2010-2015?

    Miwakala mingine ni rahisi kurubuniwa, kama huko kwenye vijiji vya akina King Unge ukimpiga jamaa na enyimba anatoka baru na kuachia wajipimie kiasi wanachotaka.
  15. U

    Elections 2010 CCM inajiandaa kuwa wapinzani au kuingia msituni?

    Baada ya miaka mitano, kitakuwa kama DP kikiwa na Mchungaji King Unge.
  16. U

    Miss Kilimanjaro PRISKA

    Is this made by the God for marriage for one person only?
  17. U

    Gari la Papa - Pope mobile, a distrust in God!

    Yesu akiwa nyikani alijaribiwa, na ibilisi 'Kama wewe ni mwana wa Mungu jirushe chini kwani Mungu atawatuma malaika waje wakuokoe kabla hujajikwaa' sembuse Papa. protection is very important for this spritual global figure, bacause by virtue of his position he also experieces a satans saround...
  18. U

    Elections 2010 Baraza la mawaziri la Rais Dr. Slaa

    naona wafanyakazi waliopo kweye wizara zitakazo kufa waingizwe kwenye idara zitakazo undwa, issue kubwa hapa ni hayo mashangingi,siyo vizuri kutemper na ajira ya mpiga kura wako.
  19. U

    Elections 2010 Kikwete apewa report ya kura za Slaa

    Data ni nzuri zinaridhisha lakini,hayo majimbo ambayo wapinzani hawajaweka wagombea ni vichochoro tosha vya ccm kupata kura za ziada na ziada
Back
Top Bottom