Search results

  1. Lord

    Dkt. Slaa: Ninapokubaliana na kutofautiana na Magufuli

    Kwa miaka yote niliyomfatilia huyu mzee nimegundua ili umuuelewe unahitaji akili fulani hivi ya ziada. Ukiikosa hiyo si ajabu sana kwa maamuzi yake yale ya kuiacha CDM/UKAWA kipindi kile ukamwita kila aina ya majina mabaya ila ki uhalisia huyu jamaa ni kichwa sana. Kwa namna ambavyo alimtaka...
  2. Lord

    UFAFANUZI: Kesi ya Zitto vs CHADEMA haijaisha mahakama kuu

    Utajuaje km amekaa kimya??? Hili ni swali pia ndugu yangu au ni akili ndogo zinakusumbua? Si muda wa kukata rufaa upo au hujui hilo? Tatizo hamtaki kutumia akili zenu kwenye haya mambo. Mkipenda mnapenda bila kujiuliza. Mfanye japo ka utafiti kidogo si kupenda tu na kufuata mkumbo.
  3. Lord

    UFAFANUZI: Kesi ya Zitto vs CHADEMA haijaisha mahakama kuu

    Si angepatiwa hilo faili kwanza basi then akae kimya na ndipo uamuzi mwengine ufuate??? Kwa haraka hii CDM walikuwa wanakimbilia wapi?? Ina maana Zitto ni hatari kiasi hicho kwamba hakuna njia mbadala ya kumdhibiti zaidi ya kumfukuza uanachama??
  4. Lord

    UFAFANUZI: Kesi ya Zitto vs CHADEMA haijaisha mahakama kuu

    Sasa labda mlipanga kumpa lini??? Maana kwa maandiko haya unakiri kweli Zitto kafuata utaratibu za kuliomba faili ambalo lilikuwa halijakamilika na kaonyesha nia ya kukata rufaa. Sasa mlikuwa na haraka ya nini kujadili uanachama wake na pengine kumfukuza uanachama kabla hata ya kusikiliza rufaa...
  5. Lord

    AG: Ufafanuzi juu ya uteuzi wa wabunge na kupewa uwaziri

    Katika mambo yote serikali ya CCM iliyofanya kwa ufasaha bila kukosea ni hili la uteuzi wa wabunge na kuwapa uwaziri. Kuna watu humu wanadai Rais amevunja kifungu cha katiba ambapo kwangu mimi ni kifungu cha "kusadikika" maana hamna hata mmoja aliyesema ni kifungu kipi cha katiba ya JMT ambacho...
  6. Lord

    Nilivyomjua Dr JK Baada ya Hotuba kwa wazee wa Dar

    Kama kawaida yenu historia ya nchi hii mnaijua nyie tu ambao mnahisi ni watanzania zaidi kuliko wengine ndo maana mnataka kutuburuza tu kwa kila jambo.... Kumbukeni hii nchi ni yetu na sote tunatakiwa tufaidi matunda ya nchi hii.
  7. Lord

    Nilivyomjua Dr JK Baada ya Hotuba kwa wazee wa Dar

    Kikubwa alichokosea ni kutaka kufanya mabadiliko ya katiba hii kwa kufuata taratibu za namna katiba za awali zilivyobadilishwa. Amesahau tatizo kubwa la katiba zetu za awali ni namna zilivyopatikana kwa hiyo tunahitaji kupata katiba mpya kwa namna nyingine itakayo washirikisha wananchi zaidi na...
  8. Lord

    Nilivyomjua Dr JK Baada ya Hotuba kwa wazee wa Dar

    Sidhani kama tunahitaji ma genious kuongoza nchi ila tunahitaji mtu above average ili kuweza kupembua pumba na mchele. No wonders serikali yake ipo hivi.
  9. Lord

    Nilivyomjua Dr JK Baada ya Hotuba kwa wazee wa Dar

    Nashukuru kwa mchango wako. Change noted...
  10. Lord

    Nilivyomjua Dr JK Baada ya Hotuba kwa wazee wa Dar

    Ndugu zangu, Leo baada ya kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza Mh Dr JK nimepata kumfahamu zaidi na namna anavyoendesha nchi yetu. 1. Raisi wetu ana ''below average thinking capacity'' kama sitakosea masomo yake ya degree ya kwanza alipata GPA ya 2.0 hadi 2.5. 2. Dr JK anaongoza hii...
  11. Lord

    Happy Birthday JK!

    Aongezewe maisha marefu ili iwe nini?? Eti amuongezee busara? Lini alikuwa na kidogo mpaka leo aongezewe? Huyu ni wa kumuomba mungu ampe busara na si kuongezewa maana hajawahi kuwa hata na kidogo.
  12. Lord

    Utanioa?

    Hapo Kwenye red ndo pananitia utata. Yeye ndo anachezewa wewe huchezewi???
  13. Lord

    Sakata la UDA: Bomu lingine lalipuliwa!

    Huyo ndo simba mla nyama atatosheka vipi???
  14. Lord

    Msaada Wa Kuunganisha Samsung GT 19000 IPhone kwenye Vodacom Internet

    Kaka asante sana nimefanikisha. Ubarikiwe
  15. Lord

    Msaada Wa Kuunganisha Samsung GT 19000 IPhone kwenye Vodacom Internet

    Wanajamvi, Naomba mwenye utaalam wa kuunganisha Samsung IPhone GT19000 kwenye vodacom internet anielekeze maana nimeshawapigia mara nyingi kila muhudumu na maelekezo yake. Natanguliza shukrani
  16. Lord

    Kwani ni lazima serikali iingilie sekta binafsi ya Mafuta?

    MM, Hivi nchi hii ina serikali au genge la wezi?? Si umesikia juzi wanaambiana wanafikiri kwa makalio. Sasa mtu anayefikiri kwa vifaa vya kukalia unategemea anafikiria nini hasa zaidi ya kushibisha tumbo ili makalio yakue.
  17. Lord

    Nipeni pole..,niko frustrated naombeni ushauri na faraja

    Hawa watoto wa Campus ni shida tupu. Kwanza wengi wao wana matarajio makubwa sana na mwisho wake huishia kubaya. We hakuna jibu la moja kwa moja hapo ila ukiona vipi achana naye huyo ashakuona wewe ni ATM akiwa na shida anakuja ku draw.
  18. Lord

    Zembwela zuzu

    Kama unajua humu ni kwa CDM unatafuta nini kama si UMBEA...
  19. Lord

    Makala hii katika The African ya leo ni kiboko

    Sasa watawala wasipoongelea amani wataongelea nini??? Ni nani wa CCM atakayeweza kuongea kitu kikubwa kilichofanyiaka bila kutaja amani. Atleast ndio kitu kinaonekana kwa macho ya juu juu ila nayo ukiangalia kwa ndani zaidi hakuna amani. Hawa jamaa walijua kilichoandikwa kwenye hotuba ya...
  20. Lord

    Mahusiano na Wakwe/Mawifi Nini kifanyike?

    MwanajamiiOne, Ukimchukulia mama mkwe wako kama mama yako mzazi na wifi zako kama wadogo/dada zako hakutakuwa na clashes wala ashes.
Back
Top Bottom