Search results

  1. P

    Sheria yetu ya Uhamiaji ni kweli iko hivi?

    yes uhakika nilikuwa nao, but who cares so long as they leave the country, hata Marekani ukitaka kuondoka nchini mwao hawakuzuii. what's the point kumzuia mtu kuondoka nchini?. hapa tunazungumzia Sheria ya uhamiaji je ni kweli iko hivi?
  2. P

    Mac Daddy of Kriss Kross in NO MORE

    Kama mnakumbuka mwanzoni mwa miaka ya Tisini kuna kundi moja la vijana wadogo lilikuwa linaitwa Kriss Kross, likiwa na vijana wawili mmoja akiitwa Chris Kelly au "Mac Daddy" na Mwingine akiitwa Chris Smith "Daddy Mac". Habari za hivi punde zinasema Mac Daddy Chris Kelly, amefariki dunia kwa...
  3. P

    Sheria yetu ya Uhamiaji ni kweli iko hivi?

    Wiki iliyopita, niliwasili katika uwanja wetu wa kimataifa JK Nyerere, katika moja ya safari zangu nje ya nchi., Kwa bahati mbaya ticket yangu ilikuwa na matatizo nikaambiwa nikae katika madawati upande wa kulia kama unaingia katika sehemu ya kukabidhi mizigo wakati wanashughulikia tatizo langu...
  4. P

    Apple founder Steve Jobs dies

    Kwa wale wasiomjua Steve Jobs nadhani kwa njia moja au nyingine wamesikia na kutumia vifaa alivyovianzisha among few being 1.Ipads 2.iPhones 3. ipods 3. Macs computers ( Macbook, iMac, Mac pro, Mac min etc) Huu ndio wasifu wake Steve Jobs Steven Paul Jobs (February 24, 1955 – October...
  5. P

    7 Habits of Highly Effective People

    Be Proactive create environment, choose response before problems start Begin with the End in Mind create cognitive mindset, what is the vision, what is the habit Put First Things First application of mindset, habit in action, short-term goals Think Win-Win achievements depend on...
  6. P

    Miss Universe 2011

    Mashindano ya Miss Universe ndio yamekamilika dakika chache zilizopita na MISS ANGOLA ndie aliyechukua taji, SHOUT OUT TO ANGOLA AND AFRICA
  7. P

    Airports must be equipped with wireless Internet

    Wiki iliyopita nikitokea Dar kuelekea Nairobi na ndege ya asubuhi sana (inaondoka Dar around saa kumi usiku), Kutokana na matatizo ya mawasiliano (Nairobi) ndege nyingi zilizokuwa zinaelekea huko, zilichelewa na nyingine kama Turkish airline iliyoruka kuelekea huku ilibidi irudi Dar.Ndege yetu...
  8. P

    Kamati ya Madini ya Bunge yahongwa kupitisha Bajeti ya madini?

    MAOFISA WA JUU WATUHUMIWA KUIHONGA KAMATI YA MAKAMBA WIZARA ya Nishati na Madini imeingia katika kashfa nzito ambapo baadhi ya maofisa wa wizara hiyo wanatuhumiwa kuwahonga baadhi ya wabunge katika Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kwa kile kinachodaiwa kutaka bajeti ya wizara hiyo kupita...
  9. P

    Nani anamjua aliyekuwa na Cheo alichopewa Nape Mnauye?

    Chiligati sasa ni Naibu katibu mkuu wa CCM bara
  10. P

    Nani anamjua aliyekuwa na Cheo alichopewa Nape Mnauye?

    Kwa sasa ukisema nani katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi, watanzania wengi wanaweza wakakupa jibu, ila ukiuliza hivi nani alikuwa na hicho cheo kabla ya Nape Mnauye nadhani ni wana-CCM (sio wanatanzania kwa ujumla) wachache sana wana jibu hilo. Je hii ina maana Nape anatiza wajibu wake/...
  11. P

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Wapinzani wa Serikali ya Kanal Gadaffi wamekiri kuwa wako katika mazungumzo na serikali ya Ufaransa ili kupewa silaha zaidi kuweza kumuondoa Gadaffi Madarakani. Pamoja na kwamba Serikali ya Ufaransa haijakiri kuwepo kwa mazungumzo hayo, ila imekiri kuwadondoshea silaha wapizania hao silaha kwa...
  12. P

    Nchi Ya Wapiga Porojo Itaendelea Kwa Muujiza Upi?

    Katika pitapita yangu kusoma habari za nyumbani nimekutana na habari hii nikaona hebu nishare na wanajamii Nchi Ya Wapiga Porojo Itaendelea Kwa Muujiza Upi? Na Nova Kambota Kama kuna jambo linalowaumiza vichwa watanznia basi ni swali kuwa kwanini kila wanalopanga halifanikiwi? au kwanini...
  13. P

    Mjue Joseph Kabila Kabange rais wa Jamhuri ya watu wa Congo

    Duh kweli nyani haoni.., inawahusu nini rekebisheni ya kwenu uvundo kibao mpaka mtu akistaafu ndo mnasema sio raia Kinana, Ulimwengu n.k
  14. P

    Bomba la gesi toka mtwara hadi tanga; inanifanya nianze kufikiria sera ya majimbo ya chadema

    Nakubaliana kabisa na mwendabure, hizo takwimu za TRA, kwanza kabisa zinatokana na Bandari ya Dar es salaam kuvurunda hivyo kutumia ya Mombasa. Lakini hiyo haitoi justification ya kuchukua hata hicho kidogo kilichopo na kukipeleka Tanga,. Tanga haina tofauti kubwa na Zanzibar na Bagamoyo, nenda...
  15. P

    Bomba la gesi toka mtwara hadi tanga; inanifanya nianze kufikiria sera ya majimbo ya chadema

    "Kwa uchumi na usalama wa nchi serikali ya Tanzania inapaswa kufanya maamuzi mazito na kuwasilisha maombi bungeni ya kutenga kiasi cha Shilingi Bilioni 131 ambacho kinahitajika kama sehemu ya kuchangia asilimia 15 ya mkopo kwa ajili ya mradi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es salaam na...
  16. P

    Marekani yaongeza nchi zaidi katika black list yake

    Kweli kabisa kwani baada ya muda si Mrefu UN noa watafuata wataanza kuziangalia hizo nchi ambazo Marekani wamezinyooshea kidole
  17. P

    Mnyika apingana na Pinda kuhusu katiba: Katiba Mpya Kuzinduliwa April 2014

    MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, amesema haitoshi kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuweka ukomo wa kukamilika kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2014 ,bila kuweka ratiba ya mchakato wa kupata katiba hiyo. Amesema wananchi wanapaswa kupokea kwa tahadhari taarifa ya Pinda kwa kuwa alipaswa kuitoa...
  18. P

    Wanafunzi UDOM wadaiwa kutengeneza mabomu-Siasa na elimu

    MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa Idrisa Kikula amesema hawezi kushawishika kwa lolote katika kuwarudisha chuoni hapo wanafunzi kwa kuwa anazo taarifa kuwa baadhi walitengeneza mabomu ya kupambana na polisi. Profesa Kikula alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na wakuu wa wilaya...
  19. P

    Mhe. Sitta alipua Bomu, kuhusiana na Mishahara wa watumishi wa Serikali

    Sitta ajitosa mjadala wa posho WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amejitosa kwenye mjadala wa posho ulioanza bungeni hivi karibuni akieleza kuwa suala la kujadili posho za wanasiasa na watendaji wengine linatakiwa kuanzia ngazi ya chini. Alisema juzi katika mdahalo...
  20. P

    Nape: Dawa ya Lowassa, Rostam na Chenge tayari imeshachemka

    FAst Action needed sio maneno tu jamani
Back
Top Bottom