Search results

  1. N

    Nyumba inauzwa.

    Nyumba inauzwa ipo gongo la mboto mwisho wa lami, ina vyumba 4, jiko choo na uwanja mkubwa.Bei ya kuuza ni milioni 20.Mwenye kuhitaji na kutaka kuiona apige simu namba 0769 393533 hii ni namba ya mmiliki wa nyumba.
  2. N

    Soma hapa tafadhali!!

    Wanajamii forum natafuta sehemu ya kufanyia field,nipo chuo kikuu cha dodoma nasomea B.com. Tumepewa wiki 2 ili tutafute sehemu za kufanyia field, kwa sasa nipo hapa Dar nimekuja kutafua hiyo sehemu, and then nikishaipata mwenzi July ndio nitakuja kufanya filed. Kwa kuwa hapa jamii forums kuna...
  3. N

    tatizo la kutojisikia kula.

    Natumaini wazima wana JF, Mimi nina tatizo la kutojisikia kula chakula, sipati hamu ya kula kabisa. Sasa yapata miezi 6 nina hili tatizo. Nimetumia vidonge vya vitamini B lakini bado hilo tatizo lipo. Tafadhali anayefahamu njia ya kuliondoa hili tatizo aniambie.
  4. N

    Hamjambo wapenzi wangu!

    salamu nyingi ziwafikie popote mlipo
Back
Top Bottom