Nyumba inauzwa.

Narumba

Member
Jan 11, 2009
34
0
Nyumba inauzwa ipo gongo la mboto mwisho wa lami, ina vyumba 4, jiko choo na uwanja mkubwa.Bei ya kuuza ni milioni 20.Mwenye kuhitaji na kutaka kuiona apige simu namba 0769 393533 hii ni namba ya mmiliki wa nyumba.
 
Weka picha mkuu tuione nyumba yenyewe. Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki?
 
Picha mkuu!!!!
Umesema kina hati miliki, je kina ukubwa gani? Ni umbali gani kutoka main road? Je hiyo hati miliki ni ile leseni ya makazi au ni titile deed? Maana zote hizo ni hati miliki!!!!Je inafikiwa kwa gari (i.e barabara) au ni lazima ukapaki gari SSM au garage? Then ukishatufahamisha hivyo, basi angalao mtu unapata apicture nasi kuchoma gari moto halafu unakuta kituko!!! Du!
 
Tusiogope, process za kununua nyumba ziko very clear. Kama kweli unahitaji la nyumba mpigie simu mkubaliane mkaione.
Wakati wa kununua, pitia ardhi kuthibitisha uwepo wa hipo kiwanja na uhalisi wa hati, baada ya hapo nendeni mahakamani au kwa advocate yeyote muandikishane hapo, kila mtu na mashahidi wake, then ulipe kwa kupitia bank, clearly uki-indicate kwamba hizo hela ni kwa manunuzi ya nyumba Plot No... Iliyopo...

Kwahyo kama unashida na nyumba, mtafute muhusika mfanye biashara!
 
Ndugu Narumba, Thibitisha kuwa unakubaliana na masharti haya hapo juu kabla hatujaanza kuwasiliana nawe.

Hii ni muhimu!!!!!
 
mbuzi ndani ya gunia, weka picha hapa mkuu!

Pape kumbe sikujua hata kwenye mauziano ya mali ukiona picha tu basi unashawishika. Picha ya eneo usilolijua itakusaidia nini?.kwani akiweka hata ya staili ya Masaki utaijuje? shida hapa sura ya nyumba, eneo ilipo, ukubwa wake au kutoamini kuwa nyumba husika ipo na inauzwa kihalali?.
 
NYUMBA INAUZWA IPO SINZA KIJIWENI =DAR ES SALAAM barabara ya Shekilango pia kuna fremu za biashara katika nyumba hiyo hiyo ! BEI MILIONI MIA NNE TU (Maongezi yapo) Kama una hela ya kununua au kuna mtu unaemjua na anahitaji piga namba hiyo ya mhusika 0718-462515
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom