Hamjambo wapenzi wangu!

Hivyo umejitambulisha au basi tu umeamua kutuzingua? watumie hao wapenzi wako sms.

Kama una maana wana JF na uwe be specific . Vinginevyo nawe hujambo popote ulipo?
 
Hivyo umejitambulisha au basi tu umeamua kutuzingua? watumie hao wapenzi wako sms.

Kama una maana wana JF na uwe be specific . Vinginevyo nawe hujambo popote ulipo?
Hapo ndio kajitambulisha hivyo! Kila mtu ana namna yake ya kujitambulisha - mwingine anapunga mkono tu (km Narumba), mwingine anakuja na mistari, mwingine anaingia na hoja moja kwa moja, ili mradi wajiunge na Great Thinkers!
Mfamaji, tufanye subira - huyu tutamtambua tu kwa michango yake. Tutajua km anachana nywele au hachani. Labda anakula bila kunawa au anavaa bila kupiga pasi, au ni mtanashati. Kelly01 atatupasha, ni hodari wa kusoma watu. Hongera Kelly01 kwa kazi nzuri.
Karibu Mkuu Narumba. Nina imani umeshatembelea JF mara nyingi km guest ndipo ukaona uingie ucheze. Karibu.
 
Kaka Mkubwa how people become great thinkers? are they born? Practice/learn? usimkosoe mapema hivyo utampunguzia kujiamini mkubwa
 
salamu nyingi ziwafikie popote mlipo

Sie wazima hofu na mashaka ni juu yako ulie mbali na upeo wa macho yetu.Lini utakuja tena hapa Jamii naona umetoweka au mpaka uzichange uende c@fe?
 
Karibu sana. Pia naona alikuwa ana test nanma ya ku post thread!!! Hapa ndo penyewe kwa wakuu wa kutundika masuala muhimu ya taifa. Tundika nyundo zako tu mzee wetu.
 
ahsanteni kwa kunikaribisha.

Haya basi, umeshajua namna ya kupost, leta data sasa (kama zipo, usije ukazilazimisha kuwepo zikakutokea puani). Kwa kawaida mtu anapoingia hapa JF kwa mara ya kwanza, huwa anajitambulisha kwa jina lake halisi, mahali anapoishi na shughuli anazofanya. Tueleze hayo basi.
 
Kidogo mgeni hapa hivyo najitambulisha kwa mara ya kwanza japokuwa nimefanya posting moja au mbili. Naitwa Al Musoma - ninatoka Musoma na ni mtu niliyesoma (hadi form six).

AM.
 
Senior employees of most institutions in Tanzania (particularly state or semi-state owned) are paid the so-called "sitting allowances" when they sit on committee or managerial meetings. The payments tend to be hefty sums of money and in most cases a single "sitting allowance" is more than an average monthly income within the same institution! For years I have struggled to understand the rationale behind this practice. My feeling is that these people are paid (allowances) for doing what they are arleady paid (salaries) for doing! The same applies to employees on official trips. It is not uncommon for people to be paid a daily alowance even when they have all subsistence costs paid for - accommodation, meals and local travel.

As i noted above, I have had a problem with this habit for many years and unless I miss something, I believe this is a clear manifestation of fraud. I would appreciate any explanation behind this multi-decade habit.

Many thanks.
 
Mura nani mpenzi wako? yego masika wasibhao? mura karibu jamvini were we dare to talk openly!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom