Search results

  1. TYPIN ERRAH

    Ndoa! Ndoa! Naomba mawazo na ushauri wenu katika hili

    Nakushauri soma kwanza uislamu uufahamu jpo upate mwanga kidogo kisha hayo mambo yko yatakuwa bila shida yoyote
  2. TYPIN ERRAH

    Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

    Karibuni kwenye uislamu
  3. TYPIN ERRAH

    Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

    Ninyi kwa sababu mmekula kiapo hadi kifo... Kwenye uislamu ikifika mhali hamuezi tena kuishi pamoja kama mke na mume ni bora muachane kwa wema.. maana pia mlioana kwa wem
  4. TYPIN ERRAH

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mbona ninyi hampunguzi riba kwenye mikopo...
  5. TYPIN ERRAH

    Changia elimu kuwasaidia wengine

    Pamoja sana mkuu
  6. TYPIN ERRAH

    Changia elimu kuwasaidia wengine

    Habar wakuu humu ndani... Mimi ni mdau wa elimu katika shule ya sekondari kwemdimu iliyopo wilaya ya Korogwe. Tuna shida ya vitabu upande wa somo la elimu ya dini ya kiislamu kwani tuna idadi ya wanafunzi zaidi ya mia tatu lakini tuna vitabu vinne tu kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha...
  7. TYPIN ERRAH

    Maisha maishani

    Jamani tupeani connection za kusaidiana maisha sasa ni magumu sana lakin kuna watu tukisema maisha magumu mnahisi ni ndoto jaman tusaidiane watu wakati mwingine tunadhalilika kwa vitu vidogo sababu ya pesa tu..... Tufundishane jinsi ya kuvua samaki kuliko kupeana samaki
  8. TYPIN ERRAH

    Sababu baadhi ya Walimu kupoteza Mvuto kwenye jamii

    Kwa walimu ndyo wana mwenendo mbaya... ?. Wengine wote wako sawa? Mbona zamani watu wengi walikuwa hawaendi shule? Au hao walimu wa zamani wao walikuwa.... Ninyi mnaoamka kila siku na kutafuta mwalimu kafanya nini ndiyo mnafanya taaluma ya ualimu kupuuzika kila kukicha
  9. TYPIN ERRAH

    Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu Nchini

    Kama serikali imeamua hivyo ni jambo jema sana ila wasi wasi wangu kuna baadhi ya watu watajipa mamlaka ya hivyo vishikwambi kuliko hata serikali na kusudio lake... Hivyo huenda visifike kwa walimu wote
  10. TYPIN ERRAH

    SoC02 Tabasamu na Mwalimu

    Hongera sana mpendwa dada yangu....
  11. TYPIN ERRAH

    Asante speaker Ndugai japo kuwasemea watumishi wa umma

    sasa mie nafikir sisi ndyo wakina ADELA wa kweli.....
  12. TYPIN ERRAH

    Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

    kiukwelli nachanganyikiwa maana baada ya kupata tunapoteza matumaini
  13. TYPIN ERRAH

    Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

    kiukwelli nachanganyikiwa maana baada ya kupata tunapoteza matumaini
  14. TYPIN ERRAH

    Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

    Unamaanisha kwel
  15. TYPIN ERRAH

    Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

    Sio kweli kwamba mwanamke hana dini
  16. TYPIN ERRAH

    Uchumba ni kipindi uchunguzi, matazamio

    Uchumba ni kipindi uchunguzi,matazamio juhusu mwenza umtakae kuwa mkeo wa baadae..... UTARATIBU Kijana katika kipindi hiki ni muhimu sana kufanya uchunguzi wa siri kabla ya kufanya uchunguzi wa wazi kivipi na kwa sababu gani? Unaweza ukafuatilia mwenendo wa msichana kwa siri bila yeye mwenye...
  17. TYPIN ERRAH

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mtu wa kubadilisha nae mimi nipo korogwe nataka kwenda tanga mjini
  18. TYPIN ERRAH

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Karibu korogwe nije A.tanga mjini No.0783746479
Back
Top Bottom