Search results

  1. S

    Eti private HEALTH COLLEGE nako kuna ushindani naomba mnijuze?

    wakuu naomba mnijuze eti vyuo binafsi vya afya nako kuna ushindani wa kupata nafasi maana kuna mtu ana bios c chem c na phy d math f english d masomo mengine yote d anataka asome diploma ya clinical medicine je anaweza akachaguliwa maana sasa wanaomba kupitia nacte je anaweza pata nafasi katika...
  2. S

    Naomba mnieleweshe kwa wanaosoma na waliosoma CLINICAL MEDICINE(CO) na MD

    Mimi nilipata div 4 point 26 o-level masomo ya sayansi nilipata hivi Phy-d Chem-c Bios-c Nikaambiwa kwa matokeo yako hayo unaweza soma diploma ya co. Je, nauliza hivi nikifaulu vizuri hiyo diploma naweza kukubaliwa kusoma digrii ya MD kwa matokeo hayo ya form 4 ingawa diploma nina matokeo...
  3. S

    wapi nitapata vitabu vya HUMAN ANATOMY na PHYSIOLOGY dar es salaam

    wakuu naomba kuuliza wapi vitabu vya anatomy na physiology kwa level ya diploma vinapo uzwa kwa upande wa dar es salaam na vina fikia shilingi ngapi au kama kuna wepsite ambayo naweza soma hayo masomo free naomba mnitajie naombeni msaada wenu wakuu
  4. S

    Wale wanaosoma au waliosoma Kolandoto na mvumi college of health science

    wakuu naombeni mnipe info zaidi kuhusu ubora wa elimu inayotolewa, mazingira ya kusoma na ada zao zikoje mi nataka nipige dip ya clinical medicine Kwa matokeo yangu bios c chem c na phy d muda wa maombi ukifika nikatume!
  5. S

    Vyuo vya afya vya private wakuu

    wakuu naomba mnisaidie kunitajia vyuo vya afya vya private katika clinical officer na medical labaratory technology
  6. S

    Walio apply wizara ya afya

    wakuu naomba mnijuze hivi selection za wizara ya afya zitatoka mwezi gani?mwenye kujua anisaidie
  7. S

    hili F langu la math linanitia wasiwasi

    wakuu nina f la math lakini nina bios c chem c phy d na engl d niliapply wizara ya afya diploma ya clinical Officer.vp wakuu Hilo f litanigharimu katika selection maana niliapply dit labaratory technology Wamenirosa
  8. S

    labaratory technology na clinical officer ipi bora

    wakuu naomba mnijuze hivi labaratory technology na clinical officer ipi iliyobora zaidi katika upatikanaji wa ajira na mshahara wake
  9. S

    Nikimaliza kusoma laboratory technology naweza soma medicine

    wakuu naomba mnijuze hivi nikimaliza diploma ya labaratory tech nikiwa nimefaulu vizuri naweza soma shahada ya medicine?
  10. S

    Form 4 ya miaka 3 mbele ukiwa na D 3 UNAENDA ADVANCE

    Wakuu sijui form 4 ya miaka mitatu mbele sijui itakuwaje maana nikiwaangalia wanafunzi wenyewe sipati picha.labda baraza ipunguze ukali wa mitihani kama pepa zitaendelea kukazwa qualification za advance zitakuwa d tatu.hiyo ndo hali halisi
  11. S

    Waliomaliza diploma wanaweza pata mkopo wakichukua degree

    Wakuu hivi ukimaliza diploma unaweza pata mkopo ukichukua shahada
  12. S

    Mwanangu anaweza pata shule ya advance kwa matokeo haya

    Div 4 ya 26 BIO C CHEM C PHY D GEO D KISW D HIST D CIV D ISLAMIC D MATH F YEYE ANAPENDA ASOME PCB AU CBG nisaidieni shule ambayo itamchikua huyu mwanangu
  13. S

    Matokeo ya kuappel yanachukua muda gani kutoka?

    Wakuu naomba mnijuze matokeo ya kuappel huwa yanachukua muda gani kutoka maana nishajaza barua bado kurudisha tu. Alafu huwa yanabadilikaga kwa kiasi gani.nataka kuappeal mtihani wa kidato cha nne 2012 kama mitihani miwili hivi NAOMBA MSAADA WENU WAKUU
  14. S

    Nataka kuappeal

    Wakuu haiwezekani mtu mwanzo alikuwa na div four ya 30 sasa ana div 1 au div 3 alafu mimi mwanzo nilikuwa na div 4 ya 27 sasa nina 26.sasa wakuu naomba mnipe process za kurudia baadhi ya mitihani yangu iludiwe kusahihishwa coz najiamini na nina uhakika kuwa nimepiga fresh msaada wenu wakuu
  15. S

    Wenye div 4 ya 26 tusife moyo kwani probability ya kwenda advance ipo.

    Kama umetia 4 ya 26 alafu kama una C mbili katika comb uliochagua first basi tuombe mungu katika selection NA tujiandae kupigamapindi mfano ulichagua pcb mwanzo alafu chem c bio c na phy d selection zikitoka ukiwepo usishangae kwani bado wanafunzi wenye 1 hadi 3 ni wachache. KWANI USHAIDI UPO...
  16. S

    Cbg

    Wakuu naomba mnijuze eti kwa mchepuo wa CBG naweza kusomea medicine au udaktari wa binadamu chuo hapo baadae mungu akiweka uhai. (NAOMBA MNIJUZE WAKUU)
  17. S

    Private school za boys advance PCB naCBG

    Wakuu naomba mnijuze shule za private mikoa ya kaskazini hususani mikoa ya ARUSHA KILiMANJARO naTANGA zenye mchepua wa pcb au cbg.naombeni mnijuze wakuu
  18. S

    Je! atachaguliwa kwenda advance mwaka huu

    Wakuu nina rafiki yangu nimemeliza nae kidata cha nne 2012 ila yeye kapiga div four ya 27 na katika kuchagua michepuo ya kwanza kaanza pcb na ya pili cbg na katika masomo hayo jamaa kascore phy d, geo d, bio c na chem c je kunauwezano mkubwa wa kuchukuliwa kwenda advance selection zikitoka ili...
  19. S

    Selection zitatoka lini? tumeshachoka kukaa kitaani

    Wakuu eti selection za wanafunzi watakao jiunga kidato cha tano 2013 zitatoka lini maana tumeshachoka maisha ya mtaani na kikubwa tujue tumechaguliwa michepuo gani kwa ajili ya TUTION
  20. S

    Wenye div 4 kafeli?

    Wana jf naomba niulize hivi mtu aliyepata div4 kafeli maana humu naona mtu anataka ushauri au anauliza afanye vp na div yake 4 lakini watu wanaanza kumtupia maneno eti we nenda kalime,eti we kilaza,eti we nenda kachunge mbuzi yaani maneno kibao.sio vizuri mnavyowafanyia wenzenu
Back
Top Bottom