Selection zitatoka lini? tumeshachoka kukaa kitaani

Sheko

JF-Expert Member
Mar 9, 2013
280
26
Wakuu eti selection za wanafunzi watakao jiunga kidato cha tano 2013 zitatoka lini maana tumeshachoka maisha ya mtaani na kikubwa tujue tumechaguliwa michepuo gani kwa ajili ya TUTION
 
Ni kweli mwaka huu majina yamechelewa sana. Kawaida wizara huwa inaenda selection mara baada ya NECTA kutangaza matokeo lakini safari hii sijui kuna nini maana tangu mwezi wa pili mpaka leo kimya labisa. Huwa wanapenda kufanyia selection pale Arusha Technical, nimeongea na jamaa yangu aliyeko jirani na eneo hilo anasema bado hawajaenda. Inawezekana mwaka huu wakafanyia sehemu nyingine lakini ukweli ni kuwa selection zimechelewa hata kama shule inaanza Mwezi Julai ni vema wahusika wakafanamu mapema ili wajiandae au waanze kufikiria ustaarabu mwingine.

Naunga mkono hoja, anayejua kinachoendelea kuhusu selection atujuze tafadhali
 
Wakuu eti selection za wanafunzi watakao jiunga kidato cha tano 2013 zitatoka lini maana tumeshachoka maisha ya mtaani na kikubwa tujue tumechaguliwa michepuo gani kwa ajili ya TUTION

Mmeanza!!!, kwani huna la kufanya hapo ulipo. Sasa ni mvua kalime wakati unasubiri, jishughulishe na lolote lililo halali!
 
Kweli kabisa "umekaa kitaani"? Kipindi hiki ungetumia kufanya courses kujiongezea knowledge in languages, advanced computer skills etc. Wewe umekaa tu???
 
mkuu hivyo nimevifanya nilipomaliza tu mtihani wa mwisho na huu ndo mwezi wangu wa mwisho.
 
Wakuu eti selection za wanafunzi watakao jiunga kidato cha tano 2013 zitatoka lini maana tumeshachoka maisha ya mtaani na kikubwa tujue tumechaguliwa michepuo gani kwa ajili ya TUTION

Wewe kweli Sheko, yani hujui utachaguliwa combination gani? hivi tunaanda taifa la aina gani jamani?

Wewe umefanya mtihani wa taifa, umechagua shule na combination unayotaka kusoma, matokeo yametoka, unashindwa kuangalia ni masomo gani ulifaulu ili ujue kama comb uliyochagua ime-balance au laha?

Vitu vingine huwe unafikiria tu sio kila kinachotanda kichwani wewe unakurupuka kuanzisha thread. Bahati yako Mods hawajaiona, wangekifutilia mbali ki-thread chako.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu eti selection za wanafunzi watakao jiunga kidato cha tano 2013 zitatoka lini maana tumeshachoka maisha ya mtaani na kikubwa tujue tumechaguliwa michepuo gani kwa ajili ya TUTION

we unataka selection aujui kua serikali ya nyinyiemu iliunda tume ya kuchunguza uelewa wenu
 
Jiamini kijana tuition ndo ududu gani,subiri AMIMU MULUNGU arudi mjengoni
 
Kumbe tuna watoto wa O-Level humu?....ooh my gosh!

tatizo la wabongo ndo hili,mtu akishavuka ngaz moja anawadharau wenzake! haya hao watoto wewe mkubwa umefanya nn cha kujisifia mbele ya jamii?
Mtoto unaemdharau leo ndo atakuja kuwa daktar wako wa kesho
 
Au mnaongelea selection ya mawaziri wa uhuru kenyatta?
tatizo la wabongo ndo hili,mtu akishavuka ngaz moja anawadharau wenzake! haya hao watoto wewe mkubwa umefanya nn cha kujisifia mbele ya jamii?
Mtoto unaemdharau leo ndo atakuja kuwa daktar wako wa kesho
 
sasa we unataka wawe wakinanani peke yao au hujui hili ni jukwaa la elimu hata darasa la saba linamhusu usiwe masikini wa fikra wewe
nimependa ujasiri wako kijana ungekuwa karibu yangu ningekupa chochote ambacho ungetaka kwangu
 
Wewe kweli Sheko, yani hujui utachaguliwa combination gani? hivi tunaanda taifa la aina gani jamani?

Wewe umefanya mtihani wa taifa, umechagua shule na combination unayotaka kusoma, matokeo yametoka, unashindwa kuangalia ni masomo gani ulifaulu ili ujue kama comb uliyochagua ime-balance au laha?

Vitu vingine huwe unafikiria tu sio kila kinachotanda kichwani wewe unakurupuka kuanzisha thread. Bahati yako Mods hawajaiona, wangekifutilia mbali ki-thread chako.
hapo kwenye blue panauumbua ujinga wako acha kiherehere kuvamia mambo uonekane unajua unafikiri mwenzako kilaza kama wewe uliyeunga unga credits bila comb?? kama zimebalance comb zote anajua ataenda ipi?? tuliopitia hiyo mifumo tunajua unaweza ukachaguliwa comb na shule ambayo hukujaza lakini nimepata hisia wewe umepata zero mwaka huu ndo mana moyo unakusokota ukisikia mwenzio anasubiri shule sio mbaya jipange acha wivu wa kijinga roho ya kijicho babu hahaha unaloo limekuganda utasubiri sana acha wenye future wakaendeleze interest zao
 
Wewe kweli Sheko, yani hujui utachaguliwa combination gani? hivi tunaanda taifa la aina gani jamani?

Wewe umefanya mtihani wa taifa, umechagua shule na combination unayotaka kusoma, matokeo yametoka, unashindwa kuangalia ni masomo gani ulifaulu ili ujue kama comb uliyochagua ime-balance au laha?

Vitu vingine huwe unafikiria tu sio kila kinachotanda kichwani wewe unakurupuka kuanzisha thread. Bahati yako Mods hawajaiona, wangekifutilia mbali ki-thread chako.
mwenzio anaenda kuendeleza kisungu shaurilo na minyoo uliyosoma
 
Hata kalio ungempa? we jamaa lazima utakuwa na itlafu kwenye nyeti zako.
kwa hiyo we umeona kalio tu?? mnasoma sana minyoo ndo mana mnashindwa kufikiri mwenzio anataka zawadi ya vitabu we unawaza nyeti puuu poor you
 
Back
Top Bottom