Search results

  1. J

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Aliyokuwa anachangia huyu mama, ingawa si mbunge wangu, lkn hakika nilikuwa nasikia aibu!
  2. J

    Shekhe Ponda aachiwa huru

    ww si mkweli. ponda kaachiwa kesi ya Ardhi, lkn bado anashikiliwa kwa kesi ya uchochezi ya morogoro, na ndiyo maana hayuko uraiani. acha upotoshaji!
  3. J

    Mwakyembe anauza bandari

    Hivi habari kama hiyo isiyoeleweka, wala kuwa na ushahidi inapataje nafasi humu?? Napata shida kuwa mwishowe hili litakuwa jamvi la kila mwenye hisia tofauti na mtu then ni sehemu yake (jukwaa lake). Hembu toa maelezo ya maana yenye ushahidi tuelewe unamaanisha nn!
  4. J

    Kugoma kwa Wafanyakazi Strabag: Pesa zao zadaiwa kuchotwa na Kinana!

    Kwani kampuni inamilikiwa na kinana?? Utoto huu sasa.
  5. J

    Rc Mullongo anapotoka ofisini kushangaa ndege ikiruka

    hamna ushaidi.sijaona hata pichayake. nadhani ni umbea zaidi hii
  6. J

    NEMC: Uchimbaji wa urani (uranium) una athari kubwa

    uchimbaji wa uranium hauhusishi milipuko yeyote. geology ya formation yake ni purely kwenye soft rocks. napata wasiwasi na kwamba taarifa hizi ni za kweli au ushabiki zaidi.
  7. J

    Ramani Ya Helligoland Treaty: Ziwa Nyasa Lote Liko Malawi

    si kweli kwamba lote lipo huko mkuu, sijaona mpaka wa malawi. yawezekana nao upo ufukweni mwa ziwa the other side??
  8. J

    Former TIC Executive Director, Emanuel Ole Naiko

    kuna ubaya gani?? its an employment oppurtunity ambayo anadhani anaiweza na jamaa anaihitaji.barrick wamefika lini nchini?? je yeye alikuwa nani wakati huo?? Vilevile kumbuka Ole naiko ni mdau mkubwa wa sector ya madini. ndiyo proffesion yake na amekuwa manager wa miradi mingi tu ya serikali ya...
  9. J

    Wawekezaji waanza kujiondoa Tanzania

    Ninaomba kama inawezekana hizi comments zetu zihifadhiwe na tuje tusome tena kujitafakari baada miaka kama mitano hv ya khali hii!
  10. J

    Mgodi wa tulawaka sasa kufungwa

    Sijaelewa vizuri hapa. Watayafukia mashimo au kuyafunika??
  11. J

    Nime-mmiss Ulimboka

    We nafasi yako ni kuandika tu hapa jamii forums, hakuna aliyediriki kwenda mbele zaidi ya kuandika tu pale alipookotwa kule porini. Cha ajabu akiwa kwenye khali ile madaktari wote wakatii amri na kurudi kazini. Nani kamsaliti mwenzie?? Tusiwe wanafiki. Ulimboka fanya shughuli zako nyingine, hii...
  12. J

    ABG appoints Philbert Rweyemamu General Manager of Tulawaka Mine

    Nadhani unamaanisha mining industry Tanzania should employ only foreigners and those are the one to appreciate growth. I think we should take mining oppurtunities kama oppurtunities nyingine zezote za employment na we shouls support and congraturate wale watanzania wachache wanao grow kinafasi...
  13. J

    Msaada tutani!

    Wana jamvi! Msaada tutani. Hv kitendo cha kupiga kura ya kumchagua rais je nikumpa ajira asimamie chombo chetu kinachoitwa serikali au ni kumpa ruksa ya yeye kuwa mtawala wetu?? Its serious naitaji msaada. Inanichanganya kidogo. Pili: mbunge ni kiongozi au ni muwakilishi wa wananchi tu...
  14. J

    Adam malima kachukuliwa hatua gani baada ya kukutwa na smg?

    Huyu jamaa anamengi! Anaissue ya kwenda southafrica kwa jina feki. Kwa nn alifake?? Sijui iliishia wapi aisee!!
  15. J

    Tulifanya kosa kumpa urais Mkapa

    No matter what, I still believe on Mkapa's capacity. Hv kwa khali ya mashirika ilivyokuwa yalikuwa yakisurvive kwa ruzuku ya serikali.mishahara ilikuwa 3yrs watu hawajapata mishahara. Serikali haipati kodi unadhani yangekuwa wapi leo hiii?? Na hayo mnayosema yalikuwa yanaenda vizuri mlitaka...
  16. J

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    I totally agree with you mama D. sioni mazingira ya huyu mtoto kudhamiria. Yawezekana kabisa hajahusika kwa namna yeyote, labda ni mazingira tu yamemfanya ahusishwe. sie wote tunayafanya aliyoyafanya huyu binti na kanumba. tunagombana sana na mengineyo. Nadhani tunapaswa tuwaonee huruma kanumba...
  17. J

    Wananchi wazuia wafanyazi na magari ya mgodi wa geita kuingia mtaani

    Mtemiwao nadhani ww ni gamba. Hayo matusi tena humu JF ya kumwambia jamaa "hao mabwana zao" sidhani kama ni sehemu yake. Umekuwa Lusinde?? Haya yote si kosa la muwekezaji, hii ni nchi, serikali ndiyo iliyoruhusu haya kwa njaa ya baadhi ya maofisa. Jk, Mkapa and others on decision making level...
  18. J

    Mh. Livingstone Lusinde Under Microscope?

    Aisee, ukiangalia ile picha mh wa CCM lusinde akihutubia, utaona watoto wote walipigwa na butwaa! walishtushwa ili khali watu wazima wakichekelea. Aisee kweli watoto wameona huyu jamaa ni mtu wa ajabu, na yamkini hana akili lkn watu wazima wanamuona kama vile ni shujaaa??
  19. J

    Barrick ku occupy machimbo ya dhahabu..tufanyeje jamani?!!

    Yah, lkn tatizo ni sheria tulizonazo. Zina mruhusu mwenye uwezo kufanya exploration maeneo aliyoyaomba na kuyapata kwa kufata taratibu au hata kuyanunua kwa watu. Na akiisha ingiza pesa yake akapata kiasi cha kutosha kujistfy kuanza uchimbaji definately ataanza kwani ndo njia pekee ya yeye...
Back
Top Bottom