Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,063
- 10,358
Khaa!!! Hii ndiyo aina ya thread ambayo Heche na mabavicha yote wanazipenda sana, kwasababu ndiyo kikomo chao cha kufikiri. Napendekeza tuandamane Kinana arudishe pesa zetu. Karibuni mibavicha yoteWakuu habari?
Nikiwa katika kuanza majukumu yangu sasa, nikapokea taarifa nzito kutoka kwa mmoja wa officer wa idara ya fedha starbarg kuwa
"Mgomo wa wafanyakaz wakudai pesa zao umesababishwa na KINANA katibu mkuu wa CCM kuchota pesa za starbarg nakuanza ziara zake zote. pia ata sherehe za muungano pesa zimechukuliwa za starbarg, nakuacha coy hiyo ikiwa haina pesa kabisa"
Pia hapo nyuma niliambiwa pesa ya coy hii ilikuwa inakuja direct to Starbag account under BOT (ndio kasi ya kujenga barabara ilikuwa faster sana na ata wajerumani walikuwa wanaonekana barabarani), serikar hikakata utaratibu huo na ikawa ni from WB to BOT, HAZINA to wizara ujenz then starbarg na kusababisha pesa kukosekana kwa wakati na ndio maana kasi ya ujenzi imepungua sanaaa sasa!
Tanzania bado sana.
Tutafakari Tunaelekea Wapi!