Search results

  1. C

    Mdada wa kizungu anavyowaibia wazungu wenzake kwa mwamvuli wa watoto jatima

    Hii habari ilirushwa kwenye vyombo vya habari vya nchini Croatia anakoishi huyu dada. Na sasa mchakato unaendelea kubaini utapeli wake. ...je nikweli watanzania tuaendelea kufumbia macho mambo ya kudhalilishana na kutumiwa kama chambo? kolajna ljubavi - YouTube
  2. C

    Mdada wa kizungu anavyowaibia wazungu wenzake kwa mwamvuli wa watoto jatima

    VIDEO: Revealing shocking stories about the Croatian orphanage in Africa: "Children are living in a concentration camp without water and enough food`` One volunteer remembers horrible scene which she experienced at the orphanage and complained about it to the president of the orphanage. Ivana...
  3. C

    Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

    Pole sana zito, kwa sababu ndani ya chungu kuna moto, na nje kumejaa barafu sijui uende wapi.....
  4. C

    Who is General Nkunda?

    that is perfect, watu wakiwa madarakani bwana hawajali kabisa nafsi ya wanajamii ndio hawa akina Nkunda, na aende Haag huyo akakione hata kama malipo ya mauaji aliyo ya fanya kamwe hayalipiki, cha msingi yeye asiendelee kutanua na kujiona Generali mbabe wakati amesababisha vifo vya maelfu ya...
  5. C

    Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

    Naukumbuka sana wimbo wa Justine Kalikawe uanzao na maneno, Sote ni ndugu, sisi sote ni ndugunk, ni muda mrefu sasa najaribu kujifunza maneno lakini sijayapata kwa hukakika kama kuna yeyote aujuaye, tafadhali msaada!! natanguliza shukrani zangu...
  6. C

    Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

    rafiki, tunalingana sana kwa vionjo vya nyimbo, huu ni wimbo wangu pekee ambao huwa na uimba kama sala ya jioni. I dedicate this song to all those who ever got to know me!!!
  7. C

    Kumbe Michuzi Photopoint sio ya kwake!!!

    hongera kijana
  8. C

    Madaktari saidia ushauri hapa please

    bila shaka anakuwa mkali kwa sababu anatamani kitu nawe haumpi hivi mwasho unamnyima raha, ndio maana umekuwa mume wake ili umfae wakati wa tabu na raha hizi ndio zile nyakati za tabu kwa mke wako, mfariji kwa kumpa haki yake...
  9. C

    Mambo juu ya mambo...

    hapa naona kuna upana wa mawazo na busara ndani yake, tuendelee kusaidiana vijana wngu, asanteni sana!!!
  10. C

    Mambo juu ya mambo...

    wapenzii, naomba ushauri wenu. Nilifahamiana na dada x nilipokuw alikizoni tena ilikuwa kwa bahati tu, tukaachiana namba na kumbe kwa vile wote tulikuwa likizoni hatukuweza kukutana so kila moja akaendelea na safari yake. Tukawa na uhusiano mzuri wa kwa njia ya email na hivi pole pole kuanza...
  11. C

    Simu na Mahusiano

    Ndugu yangu, hali hiyo kwangu tayariinafahamiak kwani nami pia some times huwa sipokei simu...lakini kwangu mara nyingi inatokea kama na fahamu issue ni nini na sina hoja za kuwwwweza kumlidhisha mtu, so kwa upande wako nadhani kasumba hiyo ni ya kawa kwa wanaume, wanaphichology wanasemaga kuwa...
  12. C

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    wapi tena huk ojamani, poleni sana mungu awajalie afya majeruhi.
  13. C

    Nioe yupi

    Rafiki, unapoongelea kuoa inamaana kuwa unataka kufanya hatua muhimu katiak maisha, kwa hilo unahitaji kutanya tafakali na kuamua kwa dhati. Mambo ya kupenda au kupendwa ni kawaida, na ni ubinadamu, lakini kujiingiza katika mapenzi au siyo ni busara, kwa maoni yangu, fanya tafakali na uone nani...
  14. C

    Washikaji yamenikuta...

    wazee nawashukuruni sana kwa ushauri, ama kweli inaonyesha umuhimu wa kuwa mwanajamii,asanteni sana ndugu zangu, nitaufuata ushauri wenu wa kindugu kweli mlionitumia. Mungu awarudishie mara dufu na tuzidi kufaana katika jamii forum, ndugu yenu, camfu!!
  15. C

    Washikaji yamenikuta...

    washikaji yamenikuta...isssue yenyewe ni kwamba nimekuwa na girl friend wangu katika uhusiano mzuri sana kwa miaka miaka, na kweli nilikuwa na imani naye sana kiasi kwamba hata mara moja sikuwahi kuhisi kuwa anaweza kuwa na mshikaji mwingine. NIlipopaswa kwenda masomoni, alinipa viapo ambavyo...
  16. C

    Ole Sendeka amtwanga konde M/kiti UVCCM!

    Ndugu zangu wapenzi katika kristu, kweli tutafika kama wabunge wanaanza kuwarushia ngumi watu. Sasa ustaarabu uko wapi, halafu sababu zenyewe za kurushiana ngumi...du! kweli makubwa sasa jaribu kufikiri mtu kama huyu kutetea maslahi ya wananchi. Mtu yeyote mwenye uzalendo wa kweli hatakasirika...
  17. C

    Mramba kulia harusi ya mwanae keko hall!!!!

    mwacheni tu ajinome, alizidisha mno tamaa na kweli inabidi akione cha mtema kuni ili liwe fundisho kwa wengine. Sisi tunakazana kulima viazi ili kujiinua kiuchumi wenzetu wanauza viazi vyetu majuu na kuzitia senti zetu zote kwenye mifuko ya suti zaooooo....nomi kweli kweli...
  18. C

    Bongo kunakera!

    Dear angalia jiepushe na madada ili usijiingize kwenye matatizo kwani wakikumind halafu wewe unajifanya kutomind utaishia kuitiwa polisi, be carefull
  19. C

    Venice is hit by serious flooding

    not only Venesia but also the eastern part of the Adreatic sea. Croatia kwa mfano, mambo juu ya mambo, meli za kuvulia zimezama, coffee bars zimesombwa baharini, masoko ya mchicha yamefunikwa na maji, watu wanaenda kazini wakiwa ndani ya buti za plastiki, wanaingilia madirishani maofinisi nk...
Back
Top Bottom