Jaydee aliishiwa alipoenda kupandikiza mimba,sasa anarudisha hela kwa nguvu zote,ukizingatia nyumbani pamedodambasi tena anabaki kulia lia tu biashara ushindani,watu wasianzishe bendi kisa ya machozi bend?Sam machozi ndo alimkimbia maana Jide hawalipi vizuri mshahara
kazi ipo sasa watakopost kwa kutumia PC za cafe,sasa IP addresse watamkamata mwenye internet cafe au?au ndo kina Invisible inabidi wasilale kila siku,kazi ipo ili kufuta msg za udini
ndugu wa mme kuja nyumbani,wakiona mfano mna pasi tatu,basi anachukua moja bila hata taarifa,yani kufanya vitu vya ndugu yao kama vyao,pia kuzaa bila kujiandaa ukifiwa namme unapeleka watoto kwa shemeji yako mwenye uwezo ilihali na yeye ana familia yake
I second Ruge,hao anaowashusha mbona na wao wanakubali kushuka?kwani Huyo Diamond alifungwa kamba akaimbe huko mlimani city,kama hawajui haki zao it is up to them?
marian,ila umkazanie hasa,maana kuipata ni mpaka afaulu vizuri test yao,nilimpeleka mdogo wangu siku ya interview,ni magari ya nguvu yamejaa,all in all wanaangalia ufaulu wa interview na siyo magari ya gharama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.