Search results

  1. E

    US, UK and France launch airstrikes in Syria

    Ila hawa wa Wamarekani hawa...Mungu anawaona!
  2. E

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco kama huku kwetu mizinguo kinoma maaana mara kwa mara umeme tunakatiwa
  3. E

    Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

    Kufanikisha vp yaani na kama nani?? Wakati hakuwahi kujihusisha na udhamini wa soka zaidi ya ushabiki tu. Kama kufanikisha chochote kuhusu soka ndo usubiri sasa hivi baada ya kukabidhiwa rasmi timu ya Simba!
  4. E

    Ni marufuku kusambaza picha hizi maana mnaongeza frustration za serikali

    Nouma sana iyo babu sasa hv risasi nje nje
  5. E

    Matukio

    [emoji188][emoji188][emoji188]
  6. E

    Simba

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa... Binafsi nimefurahi sana Mohamed Dweji (MO) kukabidhiwa klabu ya Simba. Hakika hii ni habari njema kwa wana Msimbazi. Natumaini umoja na mshikamano wa viongozi wa Simba pamoja na wadau mbalimbali utaleta maendeleo ndani timu ikiwa ni pamoja na kubeba ubingwa wa...
  7. E

    Tafakari

    Hii sidhani kama kila mtu anaiona iko poa! Sote kwa ujumla inatubidi tujitathimini kw- haya maamuzi ya Mkuu...
  8. E

    Matukio

    Watu wanabomolewa makazi yao wengine wanaambiwa wasibomolewe! Nchi ni moja rais ni mmoja, Dola inawatawala wanasiasa mpaka wananchi...sasa hata mbwa ambaye siyo binadamu anauwawa[emoji88] Watanzania tunaenda wapi??? Ila #Mungu atawalipa kwa hili.
  9. E

    Jerry Muro: Lema alikuwa Rasta, kazi zake za usiku sijazisahau!

    Kwanza Jerry Muro anaongea hivyo akiwa yeye kama nani?
Back
Top Bottom