Search results

  1. mohammad_othar

    Tatizo la form yangu ya mkopo !

    Birth cerfitificate au kitambulisho cha NIDA ?
  2. mohammad_othar

    Tatizo la form yangu ya mkopo !

    Ukiingia katika account yako katika tovuti , kisha ukilogin watakuambia pia vitu ulivokosea na kuweka nafas ya wewe kurekebisha ! https://olas.heslb.go.tz
  3. mohammad_othar

    Tatizo la form yangu ya mkopo !

    Nimekuelewa mkuu ! Ahsante
  4. mohammad_othar

    Tatizo la form yangu ya mkopo !

    Wanataka aina gani ya kitambulisho ? Ni upload cha NIDA ? na je ni scan photo copy au ?
  5. mohammad_othar

    Tatizo la form yangu ya mkopo !

    Habarini wadau ! Naimani mpo poa na wazima wa afya , nlikuwa kati ya waombaji wa mkopo mwaka huu ujao wa masomo. Baada ya uhakiki leo nimepata list kwamba - APPLICANT IDENTIFICATION DOCUMENT iko invalid. Nlikuwa naomba kujua shida ni nini ? Na wanahitaji nini heslb as an identification document...
  6. mohammad_othar

    Kwa wale wataalamu wa madawa nimeenda hospitali kwa tatizo la sikio langu

    Linalotoa sauti unamaanisha nini? Naomba ufafanue Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mohammad_othar

    MSAADA Ku-unlock Modem ya SMART TZ huawei- E5573 mifi

    Naombeni msaada tafadhal Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mohammad_othar

    Post a word starting with the last letter of the previous word

    Elephant Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mohammad_othar

    Muda wa kubeba mimba tena kwa mtu aliyejifungua kwa operation ni upi?

    Kuna kitu kinaitwa Trial of scar (Kujaribu kujifungua kawaida baada) / VBAC (Vaginal birth after caesarian section). Ni hivi ukiwa na operation moja kuna uwezekano wa kukujaribu na kukuruhusu ujifungue kwa njia ya kawaida kwa mimba ya 2, lakini ukiwa umefanyiwa operation 2 ( yaani una 2 scars )...
  10. mohammad_othar

    Pombe ni mbaya kwa afya yako

    Narekebisha : 14 Units (140mls) kwa mwanamke kwa wiki na 21 (210mls) Units kwa mwanaume kwa wiki ndo recommended.
  11. mohammad_othar

    Natafuta tiba ya Depression

    You need to see a psychiatrist akusaidie. Kuna vitu kama anti-depressants , lakini pia kuna therapies unaweza ukapewa na ma psychiatrist kama CBT (cognitive behavioural therapy ikakussaidia)
  12. mohammad_othar

    News Alert: Kuhusu kifafa.

    Hii kamba :eek::eek::eek::eek::eek:
  13. mohammad_othar

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Achana na haya mambo ! Mkapime mkojo wote kisha anzeni dawa kwa pamoja ! pia inawezekana kabisa kwa unavosema inatoka harufu kwenye mkojo sio kweli ; harufu inatoka mara nyingi iwapo kuna infection kwenye njia ya uzazi , hapo lazima mkapime pia magonjwa ya zinaa (STI's) lakini pia , ungemshauri...
  14. mohammad_othar

    Ushauri wa Haraka: Ameambiwa ana jipu Kichwani

    Kama anajipu kwenye ubongo (brain abscess) angekuwa na dalili kama : Kupata homa, dege dege, kupoteza fahamu, kuona ukungu, kichwa kuuma n.k. Hizo ndio dalili za Brain abscess; Hii inaonekana kwa kipimo cha CT scan ya kichwa. Damu kutoka kwenye makamasi inasababu nyingi sana na yenyewe. Ni...
  15. mohammad_othar

    Naweza pata maambukizi ya VVU kwa njia hii?

    Kumn'gata matiti kunaweza kukasambaza VVU iwapo kutakuwa na mchubuko wa ngozi na kuruhusu damu iingie mdomoni wakati wa kumnyonya. Kwa kifupi pia jua kwamba VVU kusambaa kupitia mate ni nadra au haiwezekani kabisa. Ila shida inakuja iwapo ni damu , damu ndio tatizo. Ila pia kuna chancce kwamba...
  16. mohammad_othar

    Ni internet ipi ambayo ni rahisi na inakupaMB nyingi kuliko zote ?

    Habarini wakuu ! Hili nahisi ni tatizo kubwa sana kwa watu wengi hapa nchini ... Nlikuwa naomba kujua kama kuna internet ya mtandao wowote ambayo ni ya kuchakachua au halali ambayo unaweza pata MB's nyingi kwa bei nafuu. Naombeni msaada !!
  17. mohammad_othar

    Jamani kuna wimbo nautafuta , msaada

    Habarini wana JF kuna wimbo mmoja hivi nlivokua mdogo nlikua nauskia na nautafuta sana una lines kama hizi.. Haya maisha nayoishi mimi , yananichanganya saana sijui niendapo wala nitokapo nini maana ya maisha ... Ndo nakumbuka sehemu hio ya wimbo, naomba kama unajua comment hapa please
Back
Top Bottom