Naanza kufanya utafiti juu ya suala la mitaala rasmi
Kutokana na sakata lililoibuliwa na Mh. James Mbatia (Mb) kuhusiana na suala la mitaala (Kama Tanzania kuna mitaala rasmi au la) nimeamua kuanza kufanya utafiti juu ya suala hilo na nitakuja na ripoti (Simaanishi hakuna tafiti...
Ni ombi zuri ila uwe makini kwa kuwa wchumba wa online nao wanamajaribu yao na inahitaji moyo na tena MAOMBI ya hali ya juu sana. Any way kila la kheri kijana
Mimi ni mvulana niko masomoni kwa sasa.(Nasoma Degree ya pili) Nina mpenzi wangu tuliyedumu nae kwa miaka 3 sasa. Nimeshamtambulisha nyumbani kwetu, na pia nafahamika kwao japo sijaenda kujitambulisha rasmi. Nikiwa kwenye harakati za kwenda kutoa posa kwao, yeye alipata ajira na hivyo kwenda...
Hongera kwa kuwa na uelewa wa kutambua mahitaji yako ya kielimu. Nakushauri utafute syllabus za masomo yako yote mf.HGL, then ukiwa nazo ni rahisi kufuatilia mambo yanayofundishwa.Kama uko dar nitext kwa msaada zaid wa maelekezo jinsi ya kuzipata na jinsi ya kuzitumia(competence based syllabus &...
Nashukuru kwa wote mlionipa ushauri wenu
Walionitaka kuwa specific-Coz ni Inventory Management,strategic management,international procurement, public procurement na Ware Housing.
Nashukuru dylansmith088 kwa link ulizonitumia
Hongera sana kaka kwa kuwa na ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance. Tatizo naloliona hapa ni KUKOSA UZOEFU WA KATI. Je uko sawa na mtu aliyefanya kazi akiwa na OD?akajiendeleza huku akiwa anafanya kazi akapata ADA, then CPA na Masters akiwa kazini?La hasha!. Nakushauri uanze na kazi...
Hapo umechemka mzee.Je kwa ID yangu hapo niambie mi ni "me" au "ke". Na wewe unapagawishwa tu na kuchangia kwao, je ukikutana nao live mezani si ndio utalilia kabisa?Acha hizo, uliowataja wote huna ushahidi kama ni wadada na pia wewe hujaona wakaka wanatoa mda za ukweli?Na kichwa cha hbr...
We uliyepost hiyo thread uache USHAMBA.Watu wawili hawawezi kubeba taswira ya chuo kizima.Usiwaaminishe watu walione ni suala kubwa kwa ushamba wako.Hayo ni mambo ya kawaida kwa taasisi kubwa kama hiyo. Na pia, masuala ya mahusiano ni ya mtu binafsi na yasihusishwe kabisa na jumuiya nzima ya...
Kugoma sio shida na ni rahisi. Lakini mwisho wa siku lazima tujiulize(kama kundi na kwa mtu binasfi),baada ya kugoma umepata nini na umepoteza nini. Tukipata majibu, tutajua uamuzi sahihi wa jinsi ya kushughulikia matatizo yetu.LAKINI pia tukiamua kugoma tugome kweli.Siku hizi UDSM hakuna...
Kwani we hukusaini nao mkataba?walikuelewesaha kazi zako ni zipi na makubaliano mengine.mlikubaliana mshahara utakaolipwa?Je uliwauliza ukifanya kazi nje ya mkataba itakuwa vp?Kuna mdau katoa maoni mazuri sana, soma sheria,fuata mkataba wako wa kazi, ukishindwa usikurupuke, usije ona cha moto...
TBC-Televisheni ya Taifa inapotoa tangazo, halifanyiki na hawatoi ufafanuzi tuwaeleweje?Sisi kama watanzania tunaihitaji sana hiyo hotuba, tena hotuba inayotoa ufafanuzi wa matatizo ya wananchi na sio kuwatuhumu watu au vyama juu ya vitu fulani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.