Search results

  1. Private investigator

    TAMISEMI na sarakasi za uhamisho wa Watumishi. Chaka jipya la kuwaibia Watumishi

    Baada ya sarakasi za kuahidi kuwa watatoa uhamisho mara 4 kwa mwaka, sasa wamekuja na ESS wakati watumishi wamepoteza nauli na usumbufu mwingi ili kukamitisha paper work ambazo tayari TAMISEMI wanazo. Kinachofanyika ni wizi na rushwa maana watu wanaotoa rushwa wanahama na vibali vinatoka. Huu...
  2. Private investigator

    Page ya TAMISEMI imedorora, taarifa za uhamisho hamtoi, watu wanahama kimyakimya na hatma yetu hatuielewi

    Chumba namba 18 ndio kinahusika eeeehh!!!??? Nani pale MLA rushwa mzuri nimpelekee???
  3. Private investigator

    Page ya TAMISEMI imedorora, taarifa za uhamisho hamtoi, watu wanahama kimyakimya na hatma yetu hatuielewi

    Yaani hatari, halafu Mimi nimekaa eti nasubiri mkeka wa kwenye tovuti😋
  4. Private investigator

    Page ya TAMISEMI imedorora, taarifa za uhamisho hamtoi, watu wanahama kimyakimya na hatma yetu hatuielewi

    Hakuna Cha majina June Wala nini, Sisi tunapokea watu wanaohamia hapa kazini. Niko site ninaona
  5. Private investigator

    Page ya TAMISEMI imedorora, taarifa za uhamisho hamtoi, watu wanahama kimyakimya na hatma yetu hatuielewi

    Hapana, kabla sijaondoka nataka niwaharibie kwanza, vunja vunja mashine, weka chumvi vifaa, na haribu haribu vitu.
  6. Private investigator

    Page ya TAMISEMI imedorora, taarifa za uhamisho hamtoi, watu wanahama kimyakimya na hatma yetu hatuielewi

    Nategemea kuhama na nimekamilisha taratibu zote. Nasubiri majina kwenye ubao wa tovuti ya TAMISEMI lakini sioni kitu. Cha ajabu hapa kazini kwangu, watumishi wapya tunawapokea wakiwa na Uhamisho kutoka nje ya MKOA. Nataka kujua anayepokea hizi rushwa TAMISEMI na Mimi nimpelekee anihamishe.
  7. Private investigator

    NMB mnahujumu uchumi

    Wameanza kuzingua
  8. Private investigator

    NMB mnahujumu uchumi

    Bank pendwa na hawashushi riba??
  9. Private investigator

    NMB mnahujumu uchumi

    Ni miezi sasa watumishi wanaotaka kuuza deni kutoka NMB kwenda mabenk mengine wamekuwa wakicheleweshewa balance zao ili tu kusudi wasikope huko kwingine isipokuwa NMB. Watumishi hawa wana mipango mingi na hiyo mikopo wanayotaka kuichukua, na hivyo wataongeza mzunguko wa pesa mtaani. Mathalani...
  10. Private investigator

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mnahujumu uchumi wa nchi kwa kuwacheleweshea watu balance statements hasa wanaotaka kuhamisha deni. Hamtaki watu wawahame huku mkilazimisha indirect wasiuze madeni yenu. Ni failed technique
  11. Private investigator

    Kwa M6 ninunue gari gani?

    Nataka gari ya kwenda nayo ofisini, nikitoka nipige uber niingize fedha. Nataka private ya kukodiwa sometime viroute vifupi vya km 300 -400 na kurudi mjini. .1. Wish .2. IST .3. Raum .4. Passo .5. GX 100 .6. Mark X Ipi itafaa kwa Mwanza hii.??
  12. Private investigator

    Uhamisho watumishi wa Umma: Waziri Ummy Mwalimu acha usanii na siasa kwenye maisha ya watu

    Sijui anajionaga nani huyu mama!!!...Anajikutaga sana kujiona ANAKUBALIKAAAAAA.....Sasa ndio atajiona sasa kuwa hajui. Asubirie tu.
  13. Private investigator

    Uhamisho watumishi wa Umma: Waziri Ummy Mwalimu acha usanii na siasa kwenye maisha ya watu

    Konyo...Wengine tunataka kutoka Dar kwenda Tanga. Usikute wewe kukaa hii Dar unaona umetoboaaaa Ngeke wewe!!
  14. Private investigator

    Uhamisho watumishi wa Umma: Waziri Ummy Mwalimu acha usanii na siasa kwenye maisha ya watu

    Hujui unachokitetea na hujui kinachoumiza wenzio. Nahisi kuna kitu hukuelewa, hicho ambacho hukukielewa ndicho kinachotugusa wenzio. So piga kinywa mzee. Tuliza gorori tuongee tuliopo kwenye majiji tunaoguswa na tamko, wewe wa Mbinga huko Makete vunga tu.
  15. Private investigator

    Waziri Ummy: Tegemeeni makubwa ujenzi wa barabara za vijijini

    Tunataka uhamisho. Anatuvunjia ndoa zetu watumishi.
  16. Private investigator

    Uhamisho watumishi wa Umma: Waziri Ummy Mwalimu acha usanii na siasa kwenye maisha ya watu

    Anajisahau sana, analeta pigo za wizara ya afya, kule alikuwa anadili na huduma zaidi kwa watu, huku yeye anadeal na watoa huduma hasa kwa matamko yake yasiyo na utafiti. Unakataaje uhamisho, eti kama ndoa ndoa wote wanazo. Itoshe kusema Ummmi kafeli
  17. Private investigator

    Uhamisho watumishi wa Umma: Waziri Ummy Mwalimu acha usanii na siasa kwenye maisha ya watu

    Simpendi huyu mama since ile siku. Aliongea kwa dharau halafu by that moment nilikuwa nishakamirisha uhamisho wa mke wangu wa ndoa halali kabisa anifuate
  18. Private investigator

    Uhamisho watumishi wa Umma: Waziri Ummy Mwalimu acha usanii na siasa kwenye maisha ya watu

    Anahusika sana. Mimi nilishaanza kumcukia tangu siku anatoa hilo tamko, na hata siku akilifuta bado nitamchukia
Back
Top Bottom