Kumuandaa daktari it takes years.
So haiwezekani, akitoka mmoja mwingine aje tu kwa haraka.
Ndio anachoomba. Kwa sasa angechagua tu wengine. Labda mbaka watakapofikia idadi nzuri tena
Rekebisha hapo,
Hawatangazi matokeo yaliyotangazwa na tume,
Wanatangaza matokeo yaliyotolewa na wakurugenzi majimboni.
Elewa uhuru wa vyombo vya habari na wajibu wake.
Kawafungulie mashitaka uone.
Utawalipa fidia tu...
Ni nafasi nzuri ya serikali kujua wananchi wa leo wana uelewa mkubwa juu ya serikali na uongozi kwa ujumla.
Muongo siku zote awe na kumbukumbu.
Ee Mungu ntumie email yako nipate kukutumia matukio na picha za uovu wa serikali yangu.
tuwe na mikakati imara yenye faida kwa taifa.
Siyo tu kujenga mradi fulani katika jimbo fulani sababu mtu fulani ni mbunge wa pale na aliwaahidi wananchi vile.
Madeni siyo ishu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.