Search results

  1. Mateso

    Maisha bora kwa kila mtanzania ni ndoto kwa mfanyakazi wa bongo

    MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NI NDOTO MFANYAKAZI WA BONGO Nawasalimu wote mnaoanza kusoma ujumbe huu. Salamu za kipekee zimfikie rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli kwa juhudi zake anazozifany katika kupambana na ufisadi na kupigania maendeleo ya mtanzania na kuja na kauli ya maisha...
  2. Mateso

    Gari linauzwa

    Year of Manufacture: 2004 Imported year: 2011 Woodentim CD/DVD/FM CC: 1990 Fuel : Petrol Transmission: Automatic Seat: 7 Reversing sensor Camera Fog Lamp, alloys, No accident, in top condition, AC, Power mirror, comprehensive insurance paid up to May 2015 Multifunctional steering Projector...
  3. Mateso

    Kiwanja kinauzwa kigamboni

    Kuna kiwanja chenye ukubwa meta za uzio 1043 maeneo ya mwongozo Kigamboni.Kwa anayehitaji awasiliane na namba ifutayo mtaelewana bei na mengineyo.0754-210270
  4. Mateso

    Gari inauzwa

    Gari Inauzwa bei nzuri. Wasiliana na 0756 769741 Mitsubishi dingo Price - Tshs 5.5m Air Conditioning, Airbag, Power Window, Power Steering, Power Mirror, AntiLock Brakes, Central Locking, Electronic Fuel Injection, EngineSize - 1463cc, Year 1999, Fuel Petrol, Color - maroon, Steering -...
  5. Mateso

    TOYOTA IPSUM inauzwa (Very Good condition)

    Contact: 0756769741/0713403679 Bei: 6,500,00/= Tsh. Year: 1998 Doors: 5 Seats: 7 Air Conditioning Power Window, Power Mirror Central Locking Electronic Fuel Injection Power Steering Airbag
  6. Mateso

    Toyota Ipsum inauzwa

    Toyota Ipsum ambayo imetengezwa mwaka 1998 inauzwa kwa bei poa. Tshs 8 m. Kuna kuelewana kwa mapunguziano. Mpigie mwenye na 0756769741
  7. Mateso

    CRDB wang'ang'ania mishahara ya watu ya mwezi mei hadi leo

    Wajameni ni jambo la kushangaza na kwa upande mwingine kusikitisha. Nashindwa kuelewa kama CRDB wamechoka wateja au wametosheka na kipato hivyo kutokujali tena wateja wao. Amini usiamini mpaka leo hii tarehe 7.6.10 kuna watu wengi sana ambao mishahara yao inapitia CRDB hawajapata mishahara...
  8. Mateso

    Makufuli awajibike

    Ni muda mrefu tumekuwa tukimsikia Mheshimiwa Makufuli akiwataka wavuvi wanaotumia nyavu ndondogo wengine wanaita korokoro wazisalimishe au wakikamatwa watachukuliwa hatua za kisheria. Kimsingi wavuvi hawa wamekuwa wakijipatia riziki zao za kila siku kwa nyavu hizo ndogondogo. Sasa wengi...
  9. Mateso

    Serikali imemshindwa Kakobe?

    Awali ya yote ningependa kutoa salamu kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa kuweza kukaa kimya na kuangalia nguvu kazi kubwa ikiwa inapotelea barabarani mbele ya kanisa la Kakobe. Hivi anawaonea haya au anashindwa kuelewa ya kwamba kuna sheria ya nguvu kazi? Ningelikuwa mimi wote hao wangekuwa...
  10. Mateso

    Mrema lyatonga hawezi ubunge

    Wana JF waliokwishatembelea Moshi au wanaotokea Moshi wanakumbuka ama wameambiwa mengi kuhusu maendeleo ya Jimbo la Vunjo tangu Mrema alipohama CCM na kuingia upinzani. Kwa wale wasiojua naona niwajuze kidogo. Mrema alipokuwa Waziri wa mambo ya Ndani alikuwa mbunge wa jimbo la Moshi Vijijini...
  11. Mateso

    Vimini makanisani

    Wana JF kuna jambo limekuwa likinisumbua sana kwa siku nyingi. Kila niendapo kanisani huwa najaribu kuangalia dada zetu wanavyovaa na huwa najiuuliza maswali mengi sana. Nashindwa kuelewa kama wanaenda kuuza sura kanisani au wanaenda kusali. Mfano mzuri ni kanisa la chuo kikuu cha Dsm. Hapa kuna...
  12. Mateso

    Zombezi judgment

    Kuna mwana Jf nilijaribu kumtumia j'ment hiyo attachment ikagoma.Nilisahau kuwasiliana na watu wa IT. Sasa nimeivunja mara tatu najaribu nikishindwa mnipe ushauri tafadhali.
  13. Mateso

    Msaada kwenye tuta

    Wakuu wa IT naomba msaada ni namna gani naweza fix nembo au picha kwenye title yangu kama walivyo fix wana JF wengine? Tafadhali.
  14. Mateso

    Kulipa kodi ni amri ya mungu

    Wakuu nimepitia andiko takatifu na kukuta kumbe kila kiongozi anatoka kwa Mungu kwa hivyo aheshimiwe na kupendwa. Warumi 13: 1. Unasema 'Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu, kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu na ile ilyopo imeamriwa na Mungu.' mstari 6-7 inasema ' Kwa sababu hiyo tena...
Back
Top Bottom