Mateso JF-Expert Member Aug 6, 2008 259 19 Aug 6, 2009 #1 Wakuu wa IT naomba msaada ni namna gani naweza fix nembo au picha kwenye title yangu kama walivyo fix wana JF wengine? Tafadhali.
Wakuu wa IT naomba msaada ni namna gani naweza fix nembo au picha kwenye title yangu kama walivyo fix wana JF wengine? Tafadhali.
Mpita Njia JF-Expert Member Mar 3, 2008 6,997 1,163 Aug 6, 2009 #2 bofya hapo kweny user cp na fuata maelekezo