Search results

  1. habari ya hapa

    Umeona nini

  2. habari ya hapa

    Spika: bahati mbaya sana kiongoz huyu hajitambui

    Zitto: Mbele ya Mkuu wa Nchi, Makonda amewabagaza wabunge ikiwemo wewe mwenyewe. Lakini maelezo unayoyatoa ni kana kwamba wewe si mkuu wa mhimili. Tunaomba mwongozo wako juu ya hili.... Spika: Kiongozi huyo (Makonda) hajitambui na wala hajielewi. Ni bahati mbaya sana tuna viongozi wa serikali...
  3. habari ya hapa

    Kiongozi bora na Makini hana Muda wa kulalamika

    Uongoz ni Karama au mamlaka ya kuwaonesha watu njia Kwa vitendo. Siku zote namuomba Mungu asinipe utajir wa Mali, isipokuwa anitajirishe Kwa kuwa na Maarifa, hekima na busara Kipimo cha uongoz ni jinsi kiongoz anaweza kuleta ushawisji Kwa watu na kufikia maendeleo tarajiwa. Uongoz ni taaluma...
  4. habari ya hapa

    Wamechakaa wao Kwa mujibu wa Ripoti ya CAG

    Heshima kwenu wenye mji Kwa mujibu wa ripoti ya CAG kamanda Muroto na Jeshi LA Polisi wamechakazwa vibaya Lkn sio haki nyie watu Tukitaka kuandamana mnatutisha Kwa kipigo cha mbwa koko Na kwenye pesa zetu mnatupiga na kutuchakaza vibaya Hii dhambi mtaitubia wapi? Sent using Jamii Forums...
  5. habari ya hapa

    Uvumilivu umemshinda Lugola

    Sent using Jamii Forums mobile app
  6. habari ya hapa

    Naombeni Lifti ndg zangu

    Sent using Jamii Forums mobile app
  7. habari ya hapa

    ACT-Wazalendo sasa Kimataifa, wapusua anga

    Amani iwe nanyi, Km ww mzalendo itikia Taifa kwanza Leo na Kesho Sina haja kusema sana km kichwa cha habar kinavyosomeka na picha hii inajieleza yenyewe Hongera Act Wazalendo Hongera Zitto Kabwe Sent using Jamii Forums mobile app
  8. habari ya hapa

    Maneno laini, kumbatio na kiss napenda mno

    Heshima kwenu Hata tusipoenda kula tunda hayo machache tu naridhika, Ama Kwa hakika naweza nisiwe peke yangu mwenye kupenda vilivyotajwa hapo juu Naamini tuko wengi muno si Wazee wala Vijana, wakitendewa ama kufanyiwa hayo majambo (achana na pesa kwanza) wanajisikia burdan kabisa. Ongezea...
  9. habari ya hapa

    Wanaume mbona mnalalamika sana

    Wanaume wa Leo mkoje, mbona mnalalama sana? Nyuzi nyingi mno za kulalamika mnaandika, kwan mnataka mfanyiwe nn na Wanawake ili muache kulialia? Mnaboa kishenzi, Km vipi jibadilisheni muanze kuvaa magauni km mnaona Wanawake wanafaidi Bure kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. habari ya hapa

    Anayejua maana ya kitambulisho cha Mjasiriamali atuambie

    Heshima kwenu mabibi na mabwana Km kupigwa tunapigwa, km kichwa cha habari kinavyosomeka Kwa nia njema tu wale waliotwambia kitambulisho cha Taifa ni mradi uliokuwa na ufisadi ndani yake Kwa kitambukisho kimoja kugharimu Tshs 17,000 na ndio wale wale walipata kusema kitambulisho cha Mpiga kura...
  11. habari ya hapa

    Kuendelea kujadili kuhusu ushoga ni kupoteza muda

    Amani iwe nanyi sasa na hata milele Kwa mawazo yangu hakuna haja ya kuwekeza nguvu nyingi kuendelea kujadili suala LA ushoga, mbona tuna mengi ya msingi? Kwann tusiwekeze nguvu huko? Kabla haijaruhusiwa tayar tunamashoga kibao, wanaojionyesha kabisa na wengine wanaliwa kimya kimya kistaraabu...
  12. habari ya hapa

    Tuanze kuandika historia ya nchi yetu Kwa maendeleo yetu

    Ni Imani ya Mu wazima wa afya na wenye nguvu, Aman iwe nanyi. Km kichwa cha habari kinavyosomeka leo natoa yangu yamoyoni na wenye mapenz mema na nchi yetu wataniunga mkono. Kila siku tunaimba, tunaomba, tunawaza kupata maendeleo, lkn ni ukweli ulio wazi kwamba maendeleo hujengwa na historia...
  13. habari ya hapa

    Wanaume Wakurya na ninyi mnapenda kulelewa

    Aman iwe nanyi Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nashangazwa nakusikitishwa na baadhi ya wanaume kupenda mteremko, Kwa watu wa pwani si ajabu, lakini vipi wanaume wa bara? mnaojinasibu kwamba ninyi watu wa kazi, imekuaje? Mnatia aibu, mnakoelekea baadhi yenu mtatamani kuvaa magani Sent...
  14. habari ya hapa

    Wanaume wa zama hizi

  15. habari ya hapa

    Kiungu village Kenya

  16. habari ya hapa

    CT SCAN vs Bombardier

  17. habari ya hapa

    I love you - Amen

  18. habari ya hapa

    Technically yuko wapi siku hizi

    Yupo Kabadili jina? Au wasiojulikana wamesepa nae, maana kuna wakati alianza kuwa maarufu mpaka kwenye magazeti ukiachilia humu JF Nimeuliza tu maana ni mjamaa mwwnzetu
  19. habari ya hapa

    Watanzania tuamue: ZZK

Back
Top Bottom