Wamechakaa wao Kwa mujibu wa Ripoti ya CAG

Hawa Jamaa huwa siwaelewi utakuta wanawapiga waandamanaji wenye madai ambayo yana maslai hata kwao,wanalala kwenye nyumba za Bati fullsuit utadhani mifugo hali ukombozi huwa ni maslai yao pia.Ndo maana wanajeshi wa Sudan wameamua kuwatandika waache kuzuia watu kuandamana kwa amani, wanatumia kama kondomu na wanasiasa.
 
Alafu Unasikia mtu anakuambia..huu utawala Ufisadi umeisha .




The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
Utawala unaochukia ufisadi upenda kufanya Kazi na MTU kama Assad na vyama vya upinzani,kinyume na hapo ni sehemu ya ufisadi
 
Back
Top Bottom