Kuendelea kujadili kuhusu ushoga ni kupoteza muda

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,739
Amani iwe nanyi sasa na hata milele

Kwa mawazo yangu hakuna haja ya kuwekeza nguvu nyingi kuendelea kujadili suala LA ushoga, mbona tuna mengi ya msingi? Kwann tusiwekeze nguvu huko?

Kabla haijaruhusiwa tayar tunamashoga kibao, wanaojionyesha kabisa na wengine wanaliwa kimya kimya kistaraabu, mitaani wapo wengi mno, naamini mpaka maofisini na huenda hata baadhi ya viongoz wa dini ama wa serikali wapo watu wa aina hii.

Suala LA ushoga lingeachwa km lilivyo, kwani ni hiari ya MTU mwenyewe, wakati anaenda kubinuka huko gizan hashurutishwi na MTU.

Ukweli kwa hali ya dunia ya sasa hatuwezi kubadili kitu ktk hili





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom