Search results

  1. M

    Code Jam Africa

    Jamani kuna coding competition organized by google here: http://code.google.com/codejam/africa/ Current Round is only a qualification round, so it not too late. Round hii inaisha saa 9 usiku leo, kwa hiyo bado kuna masaa kama 9 yakutosha kupata score ya kukuwezesha kupita kwenda kwenye final.
  2. M

    2000 Toyota Corolla Sedan, 86,000km @7.5m

    Kuna jirani yangu hapa anauza hii gari, nikadhani pengine yaweza kuwa ni dili nzuri kwa wana JF. Mwaka: 2000 Imeingia Bongo: July 2009 Odometer: 86,000km 1500cc Bei: 7.5m (non-negotiable) Contact: 0713-363534 Kwa maswali zaidi mcheki mshkaji mwenyewe kwenye simu hiyo.
  3. M

    CRDB Visa Online: Ukipata refund, fuatilia. La sivyo imekula kwako

    Kwa wale wanaotumia CRDB card online, either kama ilivyo au kwa kutumia paypal. Ukipata refund fuatilia, la sivyo CRDB wana-consider kama vile ni hela yao. Nilifanya transaction mwezi Julai katikati, kwa sababu fulani fulani, paypal wakanii-refund Agusti katikati. Baada ya wiki kadhaa za...
  4. M

    How to make the prompt come up quicker

    Mara nyingi najikuta nikiumiza mbavu katika site hii: The Daily WTF: Curious Perversions in Information Technology , lakini hii nikaona niwashirikishe wakuu: The Program Accelerator - The Daily WTF Yaani ni kama vile waweza kutumia X (stop button) ya browser yako to load pages quicker lol
  5. M

    Safari ni safari na Muziki ni Muziki

    Hii sio utani, ni kweli kabisa. Juzi mshakji alikuwa anarudi Dar toka Arusha. Njiani haja nyepesi ukawa umembana sana, kiasi cha kushindwa kujizuia. Kufikiri harakaharaka akaona muziki uliokuwa unapigwa unaweza ukamuokoa. Basi akaanza kunesa nesa kufuatiliza mziki ule, huku akiachia...
  6. M

    CRDB Visa Card: Utata wa matumizi yake mtandaoni

    Kama una CRDB Visa Card, na ulikuwa unafikiria kuitumia kwenye internet, basi usithubutu kutia sahihi kuiwezesha kutumika mtandaoni (ila kama tu unajua unachokifanya). CRDB wametoa card mpya zenye nembo ya visa, ambayo wanatangaza kwamba unaweza kununulia vitu mtandaoni. Inaonekana kama ni...
  7. M

    Sipendezwi na tabia ya watu kurudia maneno kwenye sentensi "Serikali kama serikali"

    Sasa hivi imekuwa kama kawaida kuona huu mtindo ndani ya sentensi. Mpaka wanahabari kwenye TV nao wamo. Jana tu nimesikia mmoja akiasa serikali kutoa dawa za bure kwa wenye kisukari akianza na "Serikali kama serikali inabidi ...". Mifano mingine: Serikali kama serikali inabidi iwajali watu...
Back
Top Bottom